nosocomial
JF-Expert Member
- Dec 6, 2013
- 404
- 45
Katika kile kinachodaiwa kuwa teja ni mdokozi mzuri sana wa mali za watu leo asubuhi nimeshuhudia mateja wakisombwa na magari ya polisi eneo la magomeni, huku watu wa karibu wakisema ni kutokana nw kuzagaa kwa ndugu hao maeneo hayo na kuvuta madawa hadharani.
Niliwashuhudia pia wengine wakikimbizwa na kutumbukia kwenye mto msimbazi wakidhani polisi watawaacha lakini kumbe polisi nao waligundua hilo na kwa kushirikiana na wananchi waliwafuatilia humohumo na kuwafunga pingu tayari kwenda kituoni, sijui nn kinaendelea huko kituoni ila operation ni kali na polisi wako na silaha za moto.
Cha kunishangaza ni huyu teja hapo chini ambapo wakqti wenzao wanakamatwa mita mia tano toka alipo yeye alikuwa akipata heroine polepole maeneo ya fire.
Tulipomshtua duuuu aljkuwa mkali sanw na tuliambulia matusi.
MY TAKE: Mateja wako sehemu nyingi sio eneo moja tu mseme tumemaliza kazi go around the city and u will see.