Recent content by The Wakanda Panth3r

  1. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

    Chanjo ni Kinga. Ukiwa nayo hiwezi dhuruka.
  2. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Ndio mjue, Tanzania tulikuwa na uhuru wa kutosha kabisa. Kufungiwa kwa mitandao hii kwa muda ni kuzuia umbea na uongo kuenea. Kuna nchi sasa, hawapati kabisa hizi huduma.. sisi kwa siku chache umwvimba hapa.
  3. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

    Unaweza tuwekea copy za hivyo vitabu au majina?
  4. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Anatafuta uhalali na sababu ya kuondoa lockdown kwa wananchi wake.
  5. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    Fanya service nzuri ya gari yako, Mkuu.
  6. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

    Ukiangalia namna wabeberu wanavyohusishwa katika hili, (kutokana na michango ya watu humu) basi bila shaka naweza sema DIVIDE AND RULE is still existing.
  7. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

    Aah huu uzi umeishia hapa?
  8. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Tukishajifungia ndani, kuondoa mikusanyiko ambayo kwa sisi wengi ndio inatupatia riziki zetu. Nini kifuate? Huduma? Chakula? Biashara? Una mifano ya nchi za afrika zilizojifungia na kufanikiwa? Maisha halisia ya mtanzania unayafahamu? Au tunaiga na kuiweka kwetu bila ya tathimini? Unafahamu...
  9. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Momentum. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Dr. Nyaoro Prof. Mushule Dr. Masaoe Prof. Mayo Prof. Park Prof. Ndumbalo Dr. Momanyi Prof. Lema Prof. Shirima Hawa walifanya maisha yangu pale Coet Udsm kuwa murua sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Kama kuna access na hizi copy nisaidie mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Aisee, hembu tupe kama kuna zaidi ya ile ya kurudishwa kwa watusi home kwao na maomesho mazito ya silaha. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Na cha kushangaza, nchi ambayo haiamini uwepo wa huyu Mungu ndio inatoa misaada kwancenter ya ukatoloki duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. The Wakanda Panth3r

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Kuishi mbali na nyumbani, kuna upweke wa ajabu sana. Ndio maana watu watafanya makosa watakimbia nje ya nchi ila siku moja watarudi tu kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom