Wakuu wa JF
Mimi ni moja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na open university katika mwaka wa masomo 2014/2015 na niliomba mkopo na kua allocated Tsh.500,000/- tu. Lakini niliamua kuhama na nikahamia St.Joseph tawi la Arusha. Nilifanya taratibu zote za kuhamisha mkopo na ku appeal...
pole sana mkuu! This issue is very serious coz am experiencing it. Sometimes hua nalia kabisa coz dingi angu yupo alive bt hajanilea na sikuwahi kumwona mpaka nafikia 20+ years. Hua inaniwia vigumu kumwita baba kwani miaka yote hiyo aliniacha na kufanya yake sasa nimekua mtu ndo anasema oooo...
kwa bahati mbaya siiangaliagi kabisa movies za bongo ila nadhani ni investment tu! movie inakamilika ndani ya mwezi mmoja unategemea itakua nzuri???? mambele movie onatengengezwa hata within 5+ yrs.
kingine wasaani wengi hawafanyi research za kutosha na wengi movies zao hazina maudhui mengi...
Hii habari haipo confirmed nashangaa sana w wanaokurupuka na kuandika uongo mtakatifu l ulimsikia Mbowe akimkaribisha EL CDM?????
No research no right to talk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.