Recent content by The Traveller1

  1. T

    Kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' kuoneshwa Tanzania pekee'?

    Azam anarusha matangazo katika nchi za Tanzania, Kenya na Rwanda (probably na zingine sijazijua bado/sina uhakika). Huko kote anakorusha matangazo anarusha kwa kibali, na kila maudhui (program) yana kibali chake. Kwenye maudhui ya AFCON, hana kibali cha kuyarusha nchini Kenya na Rwanda (na...
  2. T

    Sales of heavy equipments machines and trucks

    Naweza kupata picha zaidi za hii Bedford? Hata ikiwa PM sawa, nina interest nayo
  3. T

    Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Bahati mbaya Yanga amekua bora kipindi ambacho Simba yupo bora pia. Na zote kwa level za Africa haitakua ajabu zote kufika nusu na fainal kila uchao. Hii ina maana kuwa kuna uwezekano mkubwa wote wakakusanya points sawa-sawa miaka nenda rudi ama kuzidiana points chache sana kwa mwaka. Ikiwa...
  4. T

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa...
  5. T

    Kundi hatari la Mafisadi laibuka, haligusiki, lina ulinzi Mkali

    Tungekua na Bunge lenye kujitambua walau wangehoji au hata kukataa kupitisha hiyo bajeti ila lilitengenezwa "bunge maalumu la kuongeza muhula wa urais" matokeo yake ndio haya. Mimi namlaumu muasisi wa bunge la hovyo!
  6. T

    Binti Yangu na Paka Wake

    Mzee Said Mohamed, asalaam aleykum. Nafurahi kusoma kila andiko lako. Uandishi wako hauchoshi msomaji, natamani nisome na kusoma tena kila ukiandika. Wewe ni mmoja wa watu nitawasifia kabla ya mauti yao. Una kipawa kweli-kweli kwenye simulizi. Hongera.
  7. T

    Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Nchi ina vijana wapumbavu na wa hovyo sana hii sijawahi kuona. Eti mleta mada naye ni great thinker. Najionea aibu mimi. Naionea huruma nchi yangu. Ndio maana hatuendelei kwakua tunajali mambo madogo-madogo ambayo hayasaidii kukua kwa uchumi wetu. Mashindano ya quran yanazuiaje sherehe za...
  8. T

    Wakili: Feisal Anastahili Adhabu na Sio kurudishwa Yanga

    Sheria imeelekeza muda wa kufungiwa. Fei na shangazi yake wanajua kabisa ni muda mchache sana anarudi uwanjani ndio maana hawakatai kuwa Fei kavunja mkataba, wanachotaka adhabu itolewe waitumikie chap maisha yaendelee
  9. T

    Utumiaji wa makampuni ya consultants katika miradi ya maji ni upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Sheria ilishabadilishwa toka mwaka juzi; kisima cha matumizi binafsi nyumbani kwako haulipi tozo ya maji ya mwaka (annual water use fee). Kama kuna watu wa serikali wanakulipisha hii komaa nao (kataa katakata)
  10. T

    Kwanini Misri inayafaidi zaidi maji ya Ziwa Victoria kuliko sisi wenye nayo?

    Wewe umetumia kipimo gani kuwa haupo hata kumi bora ilhali kama ni discharge upo 7th na catchment area ni wa 9?
  11. T

    Kwanini Misri inayafaidi zaidi maji ya Ziwa Victoria kuliko sisi wenye nayo?

    Aisee, Nile sio mto mkubwa kabisa Africa wala haupo kumi-bora? Si unge-google walau kwa dakika moja kabla hujaandika? Nikujuze tu ili uweke records zako sawa; Nile ndio mto mrefu zaidi Afrika (1st), ni wa saba (7th) kwa discharge (wingi wa maji), na ni wa tisa (9th) kwa eneo (catchment/basin...
  12. T

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    LG utafurahia sana. Kama hela ipo nunua kubwa zaidi, 55" na kuendelea. Nilinunua LG 55" mahsusi kwa World-Cup, imenifanya sasa nashindwa kuangalia mpira kwenye TV zingine kabisa; kuna ladha nakosa kabisa.
  13. T

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Naomba msaada wa maelezo ya kuipata na kuifunga hii kitu (tracker). Nimehamia nje ya mji/makazi mapya kidogo. Nina hofu sana na usalama hasa ukizingatia nyumbani anashinda house-girl peke yake. Nataka nifunge hii kitu
  14. T

    KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

    Tunataka kuona hiyo apology document. Au Mbarawa amepigiwa simu wakamalizana tu kishkaji? Wali-post shutuma publicly, apology tunaitaka iwe hivyo hivyo pia
Back
Top Bottom