Recent content by The Tactician

  1. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa tax mtandao yaani bolt au uber n.k nahitaji gari

    king col vp Ulipata gari
  2. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Mwenye account ya bolt

    Habari chief,Namimi nina shida kama ya mdau hapo...ngoja nije
  3. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodisha

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa muda wa siku 7 mpaka 14 ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili...
  4. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inatafutwa

    Asante chief🙏 Ila naomba nipe links ya kampuni nyinginezo za aina hii
  5. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inatafutwa

    Dereva nitakuwa mimi chief
  6. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inatafutwa

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili gharama na maandikishano...
  7. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  8. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  9. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wenu juu ya hii kitu -DAIHATSU TERIOS

    Kwahio kwa si tunaokaa huku kimara milimani haitufai sio au hii ikoje
  10. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wenu juu ya hii kitu -DAIHATSU TERIOS

    Kwa shuruba una maanisha mazingira yapi chief?
  11. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo; Nataka kwenda kusoma ughaibuni

    Mkuu sahivi unajishugulisha na nini?Na mimi nahitaji kwenda kusoma hiyo course
  12. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Mliowahi na mnaotumia TV BOX, tupeane ujuzi kidogo!

    Kwa internet ya uhakika una maanisha fiberoptics kama ile ya raha,liquidtelecom,zuku n.k sio maana nikijaribu kustream mechi kupitia internet ya mitandao yetu hii ya kawaida ya simu hua sipati raha ya mpira kabisa
  13. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Mliowahi na mnaotumia TV BOX, tupeane ujuzi kidogo!

    Kaka.....Me nilikua na mpango wa kunua tv box ya Nvidia kwa ajili ya biashara yangu kuonyeshea mipira kumbe ni useless????
  14. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu smart tv

    Nahitaji hiyo kitu nakupataje??
  15. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Azam decoder wamezima channel za bure (FTA)

    Nakupataje mkuu???Yamenikuta😓
Back
Top Bottom