cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,872
Njoo nikuzie data Unlimited ufanye nayo kazi na smart tv yakoVipi kuhusu data? Gharama si kubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuzie data Unlimited ufanye nayo kazi na smart tv yakoVipi kuhusu data? Gharama si kubwa?
1. Unaweza ukaweka miracast ama wifi direct ama technology inayofanania na ukatumia simu yako ku cast app ya azam ama kitu chochote toka kwenye simu na ukaona kwenye tv.
Nimefanikiwa kuunganisha kwa wireless
Nikiwa na application ya azam na Burma tv kwenye simu naangalia mpira kwenye tv
Mara nyingi technology hii huja na tv
2. Tafuta app inayoplay url direct, naamini tv yako haikosi, then unaweza ku extract url yoyote ya live tv na kuplay.
Hope tv yako ni kama hii video
Tunashukuru kwa mrejesho mkuu.Nimefanikiwa kuunganisha kwa wireless Nikiwa na application ya azam na Burma tv kwenye simu naangalia mpira kwenye tv
Hivi mkuu njia gani ntatumia ili channel zionyeshe za inbuilt in decorder zinasoma ila hazionyeshi shida nini ni phillips ila sio led ni LCD.DVB-T2 ipo hata kwenye TV ambazo sio smart, nadhani yeye lengo lake kubwa ni kupata channels zinazo onyesha kandanda.
Channels nyingi zipo scrambled, maana ile receiver inapokea frequency za Startimes na Continental, mm kwangu zinaoyesha chache tu, 5 hazifiki, pia inategemea upo location gani.Hivi mkuu njia gani ntatumia ili channel zionyeshe za inbuilt in decorder zinasoma ila hazionyeshi shida nini ni phillips ila sio led ni LCD.
2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.Nunua ya kawaida....then agiza box la >200,000Tofauti kubwa ni kwamba smart inauwezo wa kuingia internet, za kawaida haina uwezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu hpo mkuu kwenye hela ya tv si bora uongezee na hyo lk mbili upate tv yenye sifa na quality zote?Nunua ya kawaida....then agiza box la >200,000
Au cast...fone to tv
Unaweza nunua smart ukakuta haisupport android kama ya mtoa mada hapo hapoDuu hpo mkuu kwenye hela ya tv si bora uongezee na hyo lk mbili upate tv yenye sifa na quality zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu hpo ndio umakini unapohitajika kabla hujanunuaUnaweza nunua smart ukakuta haisupport android kama ya mtoa mada hapo hapo
Nahitaji hiyo kitu nakupataje??