Naomba Ushauri wenu juu ya hii kitu -DAIHATSU TERIOS

Naomba Ushauri wenu juu ya hii kitu -DAIHATSU TERIOS

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Vipi kuhusu
1.spare sparts,je zinapatikana kiurahisi bongo na vipi gharama zake?
2.ulaji wa mafuta
BF117264_1.jpg
 
hakuna mtu aliyewahi ama anamiliki gari hiyo?
 
Hizo ni gari za india hazili mafuta lkn vispea ni adimu na ndo gari zilizoanza kuingia hv karibuni
 
Hizo gari spear zapatikana,mafuta sio sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Haaa !!! Kuuliza bei ya kitu mpaka ajibiwe na matajiri? Kama hujui ungekaa kimya!!
 
Haaa !!! Kuuliza bei ya kitu mpaka ajibiwe na matajiri? Kama hujui ungekaa kimya!!
Nadhani ana hoja nyingi sana za msingi kwa majibu aliyotoa. Kuwa na gari yatakiwa iwe ni maisha ya kawaida ikiwa pamoja na sehemu nzuri ya kulala, uhakika wa kula, kuvaa; lakini nchi hii ya tz hali haiko hivyo, mfumo wa kodi na mengineyo yamefanya gari zimilikiwe na watu wa kipato cha juu tena endelevu ambao yeye ameamua kuwaita "matajiri" ilhali wengi wakitaabika. ziko na tafsir nyingine lakini tosheka na hiyo kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom