Recent content by The Super

  1. T

    JamiiForums Tanzania CCM ikishindwa uchaguzi nani alaumiwe?

    wajilaumu wenyewe kwakuwadanga wananchi ndan ya miaka 50
  2. T

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    habar za humu ndan wakuu? Naomben msaada mwenye kuelewa hii shule ya temeke ni ipo hyo/ ipo sehemu gana?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    habara zenu wakuu.. Naomben mwenye hyo link yakupata hayo majina ya form 5 wamu ya2 na hzo shule aweke humu tupate wote
  4. T

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    wakuu naomben msaada wakujua huyu m2 kachaguliwa shule gan S0687/0193, natanguliza shukran
  5. T

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    msaada jaman namna nitakavyo weza pata hayo majina ya second selection anielekeze
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    0752890722; naomba uniweke kwenye hlo group la magar kupitia no: hiii
  7. T

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    akitaka chuo kinacho toa LLB nzur, achague chuo cha ushirika (MoCU)
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    ww mwambie baba ako nchi siio ya ccm
  9. T

    JamiiForums Tanzania Magufuri sio rais ni mgombea urais

    ndugu wana JF, kwa kuweza kupata mafanikio makubwa ya kumuondoa huyu nyoka wa kijan, mwenye sumu iliyojificha nikuhakikisha kila m2 amejiandikisha nakupata kitambulisho. Hcho ndicho pekee kitakachofanikisha mabadiliko
  10. T

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    wadau mambow vp, nataka kujua mtoto wangu kapangiwa shule gan, nimeangalia selection yaa kwanza cjaona jina lake, mwenye selection ya pili tafadhali
  11. T

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    wadau naomba mnisaidie namna yakupata second selection ya form 5
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nini cha kufanya kwa waliokosa nafasi za kujiunga Kidato cha Tano

    naomben mnijuze kupata shule niliyochaguliwa kwenda form 5
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    duuuh! Ngoja me nipite tu apa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    nadhan hajarudia hata kusoma alichokiandika. CCM huwa wanakaa kujarbu kutafuta udhaifu wa mtu bila kujal sera inaumuhimu au haina
Back
Top Bottom