CCM ikishindwa uchaguzi nani alaumiwe?

CCM ikishindwa uchaguzi nani alaumiwe?

Walaumiwe waliompiga Dr Ulimboka NA waliomua Mwangosi.mzimu umeindama ccm
 
Wa kwanza kabisa ni Aliyesema sisi watz ni malofa wapumbavu na mbumbumbu kakisaidia sana chama_mkapapa
Wa pili aliyeutangazia umma na dunia kuwa ccm itashinda hata kwa goli la mkono_nepi vuvuzela
wa tatu ni yule aliyesema ukawa hata wakishinda hatuwezi kuwakabidhi ikulu_bulembo
Wa nne ni yule aliyesema wapinzani watakiona cha mtema kuni_kikwete
 
Habari njema ni kwamba, haiwezi kushindwa.
 
Kama lowasa ni gamba /alikuwa gamba, humo ccm magamba yameisha? Je matatizo yote na umaskini wa nchi hii na raia wake vimesababishwa na lowasa? Nikuonavyo wewe si mzima kichwani.

Huo umasikini na matatizo vimesababishwa na watanzania wenyeweeeeee, na kwa mkumbo huu wa kumbabaikia Lowassa hakika watakuwa masikini milele, ila wakijitambua na kumchagua Magufuli basi hakika tutaondokana na hizo kadhia zooote.
 
Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya kupiga vifijo vigelegele na nderemo
 
ccm inaanguka kwasababu jk na serikali yake ilikuwa likizo na kujirusha kwa miaka kumi.deni la taifa limetoka 7trilion to 30 trilion lakini maisha bora hayaonekani.hela zote zimeliwa na wajanja.
 
Labda wewe hujapita kule ambako mimi nimepita. Huku kwangu wote kumi wanasema wanawafariji tu UKAWA maana hamtaki kusikia mnasemwa vibaya hivyo wanawaogopa. Ili kuepusha shari wanawambia maneno ya Faraja tu ili kuvuta siku zifike wawapige chini kistaarabu

Wanakufariji wewe sasa kwa taarifa mana wamejua wewe ni fisiem
 
Huo umasikini na matatizo vimesababishwa na watanzania wenyeweeeeee, na kwa mkumbo huu wa kumbabaikia Lowassa hakika watakuwa masikini milele, ila wakijitambua na kumchagua Magufuli basi hakika tutaondokana na hizo kadhia zooote.

Hata wewe pia si mzima.
 
Subiri octoba 25 ndio utajua nani mzima na nani sio mzima.

Hata kama ccm itashinda, itashinda kwasababu ya upumbavu wa watanzania kama wewe,kwasababu mijitu mingi kama wewe haijui kuhoji au kufikiri kile ambacho ccm inakisema. Kwa mfano mnasema lowasa fisadi, je ufisadi katika nchi hii ni Richmond peke yake? Je kutoka kwa lowasa ccm, kumemaliza ufisadi ccm? Magufuli anasema ataleta mabadiliko,hili linawezekanaje ndani ya mfumo wa ccm? Anailaumu serikali yake mwenyewe kwakushindwa kuwahudumia wananchi, halafu anataka tuirudishe tena madarakani! Haingii akilini, ni wajinga tu kama wewe ndiyo wanaokubali upuuzi wa ccm, au labda kama na wewe ni mtoto wa viongozi wa ccm wezi wakubwa unatetea maslahi yako.
 
Tena wakishindwa washangilie Sana..maana makufuli anaweza kujitoa kwenye uchaguzi kwa jinsi walivyo na hali mbaya..
 
Hata kama ccm itashinda, itashinda kwasababu ya upumbavu wa watanzania kama wewe,kwasababu mijitu mingi kama wewe haijui kuhoji au kufikiri kile ambacho ccm inakisema. Kwa mfano mnasema lowasa fisadi, je ufisadi katika nchi hii ni Richmond peke yake? Je kutoka kwa lowasa ccm, kumemaliza ufisadi ccm? Magufuli anasema ataleta mabadiliko,hili linawezekanaje ndani ya mfumo wa ccm? Anailaumu serikali yake mwenyewe kwakushindwa kuwahudumia wananchi, halafu anataka tuirudishe tena madarakani! Haingii akilini, ni wajinga tu kama wewe ndiyo wanaokubali upuuzi wa ccm, au labda kama na wewe ni mtoto wa viongozi wa ccm wezi wakubwa unatetea maslahi yako.

Teh teh teh teh!! Punguza jazba dogo, acha kutanua vidole anza kutanua akili, hayo uliyojihoji majibu yake rahisiiiii walaaa hauhitaji nguvu sanaaa kutafakari, kiufupi ni kwamba najitambua mnoooo na ndio maana nitamchagua Magufuli raisi wa watanzania wanaojitambua, hii ni nchi hauko chumbani ati!!! Siiweki nchi yangu rehani kamweeeee na chaguo langu ni Magufuli fullstop.
 
Back
Top Bottom