Recent content by The sole cat

  1. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wanaume wa dar kwa kulilia LIKE
  2. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumtongoza Mkuu wa Wilaya?

    "Mbona mi nakademu kafid force nilikatongoza ila hadi sasa bado nakala mdogo mdogo, kakizingua gheto kichapo kama kawaida? Sema nn kujiamini, msela hakujiamini
  3. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Nyerere au Magufuli?

    Anayelia sana msibani 90% huwa ni muhusika mkuu,....(.1) mtoto wa marehemu ntamsomesha mimi (2) chakula na mazishi ntasimamia mimi (3) hujitoa sana kuwa hadaa watu kumbe kikulacho by mr nice
  4. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

    Futi 6 shimoni kaburi haliitaji mbwembwe
  5. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

    "Iyo mada pelekea wazazi wetu, sisi watoto tunasubili uga wa lishe tunywe uji tu.
  6. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ule paja la mbuzi na unywe barimi alafu ukose nauli upite vichochoroni pumbavuuuuu kabisa heri ungekufa 2 jogoo tasa ww
  7. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Kuhusu swala lakufunga si kweli mkuu nachojua aliyepigwa risasi alikufa papo hapo ila aliyepiga risasi alifia hospital ya mkoa,mwanza baada ya wanafunzi wa kangaye sec na wananchi wenye hasira kali kumshambulia. Kalibu elephat pub hapa round about kangaye mkuu
  8. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kutatua haya matatizo mawili utakuwa Ni mtu mwenye mchango mkubwa sana

    hapana mkuu hii kachanganya na goso
  9. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Usicheke sana na mdogo wako wa kike utakuja kunishukuru

    Mwenye akili timamu, ndiyo ataelewa uzi..!? Asante mkuu nguvu 5
  10. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mwanamke ana haki sawa na Mwanaume. Wanawake lazima waheshimiwe na kupewa Haki zao!

    usikute jinsia zao ni kubwa mno mkuu
  11. The sole cat

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Mbona wewe unakunywa kitoko" atusemi!? Acha chuki..!!
Back
Top Bottom