kitaboy
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 341
- 1,207
Hii ndio point,Lile kundi wa mashetani alilopiga pin magufuli limerejeshwa na Amirat Jeshi.
Mzee alikuwa commited kukontrol ujinga ujinga lakin mapuuzi yaliolaaniwa yanamponda, ilikuwa watu wanahodhi dola ili zipande bei akawajua akabana mwanya, kila penye inflation akabana mwanya, sasa wameingia furahieni show....na bado nishati ya umeme mtakuja shuhudia matukio heavy.
Uzuri wote tunaguswa na matokeo