Usicheke sana na mdogo wako wa kike utakuja kunishukuru

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Mdogo wa kike ni ndugu mzuri tu, naongea hiki nikiwa na ushahidi. Ukicheka sana na kuleta mazoea kwa mdogo wako wa kike, hatokuheshimu kamwe. Ataleta wanaume hapo kwenu na atawakalia vichwani wote.

Kuna siku kaka yangu aliambiwa "hebu acha ufala, acha kumnyanyasa huyo mfanyakazi", kisa chenyewe kaka alikuwa anamuonywa hg asirudi usiku, kwani alikuwa akitoroka usiku.

Kaka ana miaka 32 na huyu mdogo wetu ana 26. Ilikuwa ni aibu mno, kwa kuwa amemzoesha mwenyewe basi akaanza kucheka cheka tu baada ya kutukanwa.

Na ndio maana mimi sicheki kiboya na dogo wa kike, na ananiogopa, kwangu nataka iwe hivyo. Yaani ni full ukauzu tu, bora hivyo heshima ipo na naiona.

#MazoeaHuondoaHeshima

Hata kama ni ndugu yako lazima akuogope, acha kujiachia achia kiboya boya wanawake wengi hawana adabu na hawana heshima kwa maboya hata kama ni kaka yake, note that.
 
Umri wako tafadhari
 
Huyo bro mwenye miaka 32 bd anatafta nn nyumban???
Imagine uko hom af jobless,... Umri wenyewe ndo huo. Unategemea nan akuheshim??.
Ondoka kajitegemee.... Achana na mambo ya nyumban, mind yo issues
 
Dhu, mkuu yani kaka yako ana miaka 32 na dada yako ana miaka 26 na wewe una range kwenye 27 to 31 bado mpo kwenu.?, familia yenu ni yakihindi nini hamhami kwa baba yenu tu
 
Hapana, inatokeaga tu kukaa kwa wazazi, nyumba ni kubwa mno.
 
Huyo bro mwenye miaka 32 bd anatafta nn nyumban???
Imagine uko hom af jobless,... Umri wenyewe ndo huo. Unategemea nan akuheshim??.
Ondoka kajitegemee.... Achana na mambo ya nyumban, mind yo issues
Ana kazi yake kaka, nyumba ni kubwa tu ila ndio hivyo mazoea hayana heshima.
 
Back
Top Bottom