Ni vibaya Taifa kuamini maProfesa wengi kukimbilia bungeni au kuwa mawaziri yaani ni sawa na kutumia gari la kubebea makontena/mchanga kubebea mikate.Duniani kote ni gharama kuandaa maprofesa hawa,hapa kwetu wanakimbilia bungeni kwa sababu ya masilahi yao mabovu.Hawa ni thinktanks za nchi ndio...
Inashangaza nchi hii umeme kukatika kila siku bila taarifa,utadhani haina viongozi hebu tuorodheshe mikoa waliyokata kwa kuanza Dar wamekata huku Kinondoni
Mimi nilikuwa mbishi juu ya hilo kabila nikapata mmoja mpaka nikamtambulisha kwetu na nilipojitambulisha kwao akajua kazi imeisha akaanza vituko na kunisumbua nilimpiga chini na kukata mawasiliano mpaka leo anasumbua tatizo lenu mnawadekeza kwani ukimwacha yeye ndio mwenye K peke yake?Pia...
Jana Rais Kikwete alisema muda wa kampeni za kuikubali au kuikataa katiba mpya bado haujafika na watu wasubiri muda ulioruhusiwa kisheria lakini anasahau yeye ndio wa kwanza kuvunja hiyo sheria maana amekuwa akiipigia kampeni kwa kuwaeleza wananchi kuwa ni nzuri na waipigie kura ya NDIYO mfano...
Wakuu ni ajabu sana mpaka sasa jeshi la polisi halijachukua hatua kwa watu waliofanya fujo wakiongonzwa na Paul Makonda.Nina uhakika tukio lile lingefanywa na vijana wa CHADEMA/CUF/NCCR basi ingekuwa tofauti.Siku zote kwenye mikutano ya wapinzani jeshi la polisi huizuia wakidai kuna taarifa za...
IPTL wezi tu na wote mnaoitetea ni wapumbavu sana hamna hata uzalendo kwa nchi yenu basi hizo pesa mnazolipwa kuwatetea IPTL na iwe laana kwenu na watoto wenu,msifanikiwe na daima vizazi kwenu visiwe na amani
IPTL wezi tu ngoja CAG atoe ripoti lazima baadhi ya mawaziri wang'oke wakiongozwa na Mwanasheria mkuu wa serikali na katibu mkuu wizara ya nishati na madini.Wewe huna akili kabisa IPTL mkombozi wa watanzania njoja tuone nani kati ya Werema na Kafulila na nani mshenzi kati ya Maswi na Kafulila
Hao IPTL wezi tu Kafulila yupo sahihi kama sio wezi kwanini wahisani wamekataa kutoa pesa mpaka uchunguzi wa jambo hili ukamilike
Mataifa wahisani wamechelewesha msaada wa kuipiga jeki bajeti ya Tanzania hadi pale uchunguzi kuhusu madai ya ufisadi katika sekta ya nishati utakapotolewa na hatua...
Rais ni kigeugeu kwanini hakuwazuia au kuwakemea wazanzibar waliovunja katiba ya sasa kwa kusema Zanzibar ni nchi na Rais wa Zanzibar ndio mkuu wa nchi ya Zanzibar,yeye muda wote kucheka hata kwenye mambo serious
Madaraka yupo sahihi kabisa kwani BOT hawawezi kuweka kwenye noti picha halisi ya Nyerere pamoja na maendeleo haya ya teknologia? kuna mambo ya kujadili lakini sio hili
Kitendo cha kufukuzwa kazi mwanasheria mkuu wa Zanzibar ni madhara ya kura ya wazi ambayo ilileta mtafaruku sana.Maana ingekuwa ni siri isingejulikana na pia uhuru wake wa kuchagua umeingiliwaa,pia mwanasheria huyu alijitetea kuwa serikali ya Zanzibar haikuwa na msimamo katika miundo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.