UKAWA kemeeni TANESCO kutumika vibaya kutukatia umeme siku muhimu ili tusihabarike

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Imekuwa kawaida ya tanesco kukata umeme seehemu mbalimbali nchini.hususan kunapokuwa na mijadala migumu bungeni inayoibana serikali.

Kama sasa hivi wakati tukisubiri kuanza kikao cha bunge 25/11/2014 tayari wamekata umeme hapa Mwanza.na sijui kwingineko nchini?

hili lijidhihisha wazi kama tukio la kupangwa hususani kutufanya tulip wengi tusipate furs a ya kuona madudu ya escrow

Nawaomba wabunge hasa wa ukawa muombe muongozo wa hili bungeni maana tanesco tunawalipa na ni haki yao kutuhudumia na si kutumika kisisa na kifisadi kama hivi
 

Mbassa

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
268
250
Arusha pia umekatwa sasa hivi, hii ni hujuma kabisa kwa wananchi!
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Imekuwa kawaida ya tanesco kukata umeme seehemu mbalimbali nchini.hususan kunapokuwa name mijadala migumu bungeni inayoibana serikali.

Kama salsa hivi wakati tukisubiri kuanza kikao cha binge 25/11/2014 tayari wamekata umeme hapa Mwanza.name siju kwingineko nchini?

hili lijidhihisha wazi kama tukio la kupangwa hususani kutufanya tulip wengi tusipate furs a ya kuona madudu ya escrow

Nawaomba wabunge has a was ukawa muombe muongozo was chili bungeni maana tanesco tunawalipa name no khaki Tao kutuhudumia name si kutumika kisisa name kifisadi kama hivi
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,252
2,000
Kuna haja ya kuruhusu makampuni binafsi kuzalisha na kuuza umeme wao moja kwa moja bila kupitia TANesCo. Sijajua kama wananchi, tunadai haki wapi kuhusu kero za tanesco!! Ni kero!
 

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Kama mwanajamvi alivyoshauri jana hawa maharamia Tanesco wamechukua umeme huku maeneo ya Nyakato Mwanza!
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.

Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,916
2,000
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.

Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Huna tofauti na huyu, au ndio wewe?
ImageUploadedByJamiiForums1416898337.825987.jpg
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.

Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Wengi tunatumia cable provided network hi yo Lila MTU akiwa name generator so suluhisho kwani...Kyle kwenye main supplier ma dish take yanakuwa power less
Kukosa generator so laana Bali wizi was tanesco name escrow undo laana
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.

Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Wengi tunatumia cable provided network hi yo ila MTU akiwa na generator so suluhisho kwani...Kule kwenye main supplier ma dish yake yanakuwa power less
Kukosa generator so laana Bali wizi wa tanesco naescrow ndo laana
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Tujifunze Kuwa wazalendo jamani.ni haki yetu kufaidi raslimali za nchi hii na so khaki ya mafisadi name vizazi vyao...tufike mahali tuseme noooooo! Kwa vitendo
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Tujifunze Kuwa wazalendo jamani.ni haki yetu kufaidi raslimali za nchi hii na so haki ya mafisadi na vizazi vyao...tufike mahali tuseme noooooo! Kwa vitendo
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Wadau,
Leo 25/11/2014, ni siku ambayo watanzania wazalendo kote nchini tunasubri kwa hamu ule mdahalo wa jaji na waziri mkuu mstaafu,mheshimiwa warioba uliovurugwa na ccm unarudiwa pale mlimani city dsm
Sasa hujuma ya tanesco ni kwamba wamekata umeme maeneo mengi nchini

My take:
Hi ni hujuma iliyopangwa name ccm makusudi il I wananchi tusifanikiwe kuuona live kupitia luninga pendwa ya wananchi ITV,name kama ndivyo tuwaombe ITV wafanye marudio ya kipindi kwa faida ya wengi.
Nawakilisha
 

The Senetor

Member
Aug 23, 2014
41
0
Inashangaza nchi hii umeme kukatika kila siku bila taarifa,utadhani haina viongozi hebu tuorodheshe mikoa waliyokata kwa kuanza Dar wamekata huku Kinondoni
 

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
mwanza karibu yoote wamekata.Arusha pia wamekata maeneo mengi ebu name engine tujulishane.

watu each ache kupewa dhamana name kuitumia visivyo haikubaliki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom