Anthony mtaka ni RC bora, sema yupo kwenye mkoa usio na mapato mazuri Kama Bashite!
Bashite yeye hela ni nyingi pia wafadhili ni wengi daslam ya Bashite
Nachojua Mimi ukijiingiza kwenye hizi biashara za madawa ya kulevya, huwezi kusalimika uhai wako!!
Aidha utakufa kwa sababu ya madhara ya madawa
Au watakuua hao mabosi wako wakihofia kuumbuka!!
Tumejaaliwa ardhi yenye rutuba, amani na mvua za masika zipo/maji, hebu tupigeni kilimo vijana...
Capitalist puppets at duty!
Endeleeni kutetea maslahi ya wazungu na propaganda zao zidi ya taifa lenu wenyewe, hamna jema nyie viumbe, mda ukifika mtakumbuka na kuomba msamaha Kama mnavyojipendekeza kwa jk, wakati ndio alikuwa mnyonge wenu!!
Hawa wasiojulikana wapo kweli? Kama wapo wako wapi...
Yaani maaskofu ndio wawe watu wa kuhimidiwa kisa wameandika nyaraka? Mnadhani wana utakatifu sana mioyoni mwao?
Yesu mwenyewe hakuingilia mamlaka ya serikali na alitii sheria za nchi ( uyahudi chini ya Roma) Leo hawa maaskofu wamekuwa kama ndio wasafi na wenye hekima kupitiliza?
Mbona...
We mjinga kweli kweli, kajisomee kuhusu kiwanda cha bombardiers utajua kuwa ni new generation au old fashioned!! Hizi bombardiers hata Marekani wanazitumia kwa wingi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.