I beg your pardon...what exactly were you trying to say?Hivi wewe ulitrajia hao wahanga wa mabadiliko mining regime au vibaraka/mawakala wao wamsemeje JPM? So sad, hata Mange amekwisha kuwa 'intellectual referral' wako? Duh!

Nadhani hapa, hatumtendei haki!, mbona kila siku humu jf na kwenye magazeti tunamcritisize?, angekuwa kweli ni mtu wa hivyo, si jf ingeishafungwa zamani?, mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni!. Magufuli yuko stable sana na taifa letu liko very stable!.
Paskali.
Rejea
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Of course any person with a sane mind wouldn't touch him with a 10-foot pole.There you go again with your efforts to defend this unfit to be in the state house person!!! Yeah! He is very stable but unfortunately even his beloved wife was not ready to support him to lead our beloved country.
Of course any person with a sane mind wouldn't touch him with a 10-foot pole.
Pumbavu zako na weye, usoaamka ukatoka kufanya kazi, umekalia kuchangia ujinga tu humu, bure kabisaFanyeni kazi nyie pumbavu zenu, mmekaa kulalamika asubuhi, mchana, na usiku. Democrasia, whatever sijui vyama vingi ni propaganda za wazungu kuendelea kututawala ki mabavu, hayupo mzungu dunia hii anayetamani africa iendelee kamwe sababu tukiendelea washenzi wale watakufa na njaa.
Never critize meJust Praise Me (JPM)
Kwa sababu lengo la jf, Zaidi ya kuhabarishana, ni kuelimishana na ikibidi hata kusaidiana, mimi kwa vile mwanzo nilikuwa ni muhabarishaji, sasa ni muelimishaji, nikielekea kwenye msaidiaji.There you go again with your efforts to defend this unfit to be in the state house person!!! Yeah! He is very stable but unfortunately even his beloved wife was not ready to support him to lead our beloved country.
Ongeza bidii kuna teuzi zinakuja hivi karibuni Mkoromije wewe safari hii lazima akukumbuke.
Ili tuweze kumtetea, Mshauri kwanza abadilike awe kiongozi na sio mtawala.Nadhani hapa, hatumtendei haki!, mbona kila siku humu jf na kwenye magazeti tunamcritisize?, angekuwa kweli ni mtu wa hivyo, si jf ingeishafungwa zamani?, mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni!. Magufuli yuko stable sana na taifa letu liko very stable!.
Paskali.
Rejea
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Kabisa waelevu tunatambua.Inamana hana jema huyu mtu kwenye nchi? Endeleeni kutiana ujinga werevu wanatambua.
Magufuli ni rais wetu wote, kwa nini useme mshauri, badala ya wewe kumshauri. Bandika tuu thread " Magufuli Badilika, Kuwa Kiongozi Sio Mtawala" humo utaeleza kuwa mtawala ni vipi na kuwa Kiongozi ni vipi,Ili tuweze kumtetea, Mshauri kwanza abadilike awe kiongozi na sio mtawala.
Muulize pia, mbona ulinzi wake umeongozeka maradufu? Kwani awaogopa watz wenzie? Kawakosea nini?
Kula like kiongozi najisikia fahari Sana napoona kumbe tupo wengi wenye mtazomo chanya kwa dr magu.Nadhani hapa, hatumtendei haki!, mbona kila siku humu jf na kwenye magazeti tunamcritisize?, angekuwa kweli ni mtu wa hivyo, si jf ingeishafungwa zamani?, mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni!. Magufuli yuko stable sana na taifa letu liko very stable!.
Paskali.
Rejea
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
The post of the President needs someone emotionally balanced. It's risky when emotions control decisions.
Take for example President Magufuli of Tanzania. The guy is not emotionally balanced at all. He is full of anger and revenge. He doesn't like criticism. He likes being praised. He orders arrests to whoever challenges his wrong decisions.
Emotionally controlled people are not fit for Presidency.
Jamani mwacheni Jpm afanye kazi, nchi yetu ilifika pabovu ukilinganisha na wingi wa rasilimali, hakika lazima rais awe emotional hasa anaposhughulikia mambo makubwa kwa faida ya watanzania wote halafu wanufaika walioichuma Tanzania kwa miaka kadhaa wanaanza kelele kwa lengo la kupotosha umma lazima achukie, tambua yeye ni raia wa Tanzania taasisi zote zinaripoti kwake, anajua nani ni nani, na yupi ni yupi.Mayala, I like your critical comment. It could be much better if Mr Magufuli could at least have a quarter of tolerance over critics. Why arrests for critics, have become a routine?
You are giving example of Jf, but you are forgetting that, Mr Merro, the JF Director, was arrested and as we comment, he is having a case before court, for no reason other than critics against Magufuli.
Mayala my friend, better live poor but happier than live rich under chain of cries.
Nadhani hapa, hatumtendei haki!, mbona kila siku humu jf na kwenye magazeti tunamcritisize?, angekuwa kweli ni mtu wa hivyo, si jf ingeishafungwa zamani?, mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni!. Magufuli yuko stable sana na taifa letu liko very stable!.
Paskali.
Paskali, kwani lazima uchangie kila hoja?Nadhani hapa, hatumtendei haki!, mbona kila siku humu jf na kwenye magazeti tunamcritisize?, angekuwa kweli ni mtu wa hivyo, si jf ingeishafungwa zamani?, mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni!. Magufuli yuko stable sana na taifa letu liko very stable!.
Paskali.
Rejea
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Naomba muongozo, hoja gani naruhusiwa kuchangia na hoja gani siruhusiwi, ili nichangie tuu zile hoja ninazoruhusiwa?.Paskali, kwani lazima uchangie kila hoja?
Umemkosoa mtoa hoja kwa kitu ambao wewe ulishawahi kukisema.Naomba muongozo, hoja gani naruhusiwa kuchangia na hoja gani siruhusiwi, ili nichangie tuu zile hoja ninazoruhusiwa?.
Tumefikia kupangiana hoja za kuchangia?.
Au hoja ikiletwa humu kuna watu mnategemea michango ya kina fulani fulani tuu, sisi wengine tusichangie kwa sababu hatupaswi kuchangia baadhi ya hoja?.
P