Recent content by The Pirate

  1. The Pirate

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Wewe mtoto na hako kabinti ni katoto solution kachezeni kombolela utapata akili kama mbayuwayu!
  2. The Pirate

    Utata wa Voda na Jay milioni

    Hayo ni Majambalika toka kitambo wizi wameanza zamani sana, Sisi werevu tumeshaachana nao mda, laini zao zipozipo tu kwenye simu kwa jili ya kupigiwa na washikaji wengine wenye laini za hao wezi, sisi mitandao yetu tiGo, Airtel n.k. Sasa watu mnlalamika nn na alalae usimwamshe?....Mtaendelea...
  3. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Hivi ninyi mmesoma Udsm gani njaa? Mbona mnaleta habari za kujibanabana kufikia kula misosi michafu ya uswahilini? Hivi hiki si chuo kabisa siku hizi eeh...mwanachuo unakula makoko halafu unajisifu hapa JF! Sisi tulikua tunasoma wakati huo nikiwa FOE watu tuna familia maisha safi yanasonga! Siku...
  4. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Lazima usiamini F.A.L.A kwa Kuwa vilaza ni wagumu kuelewa that's why supp kwao ni sifa hadi kufikia kujitangaza JF na kuona wao pekee ndo wamesoma pale Udsm na kutaka kudanganya wengine wasiojua mazingira ya pale.Sasa wewe kilaza wa nguvu chomoa dude(supp) hilo kwanza litaleza madhara ma.ta.koni!
  5. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Inaelekea uligraduate kwa kuvua chupi sana, that's why unashabikia sup. uwezo wa kubumba. Umemaliza vp kama sup. zilikua zinabebana.
  6. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Hahahaaa unauliza Nzi kwenye bucha ya utumbo, yaani unamuuliza mhandisi mzima wa NICTBB with hons. eti anaijua shule ya UDSM ama la? We mtoto we, temea mate chini, utadisco nikikukosea radhi!
  7. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Unafikiri kwa ------ badala ya kichwa wewe, nambie Leo Luna Pro. Luhanga hapo?, kuna Prof Mark Mwandosya hapo? kuna FOE hapo? Kuna Mr. Punch hapo, kuna mabasi ya wanafunzi hapo? Kuna DCM zinafuata wanafunzi hapo kwenda SILENT IN Kila weekend hapo? Boom lilikua sh ngapi? Answer those questions...
  8. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!
  9. The Pirate

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Dalili zinaonesha mapemaa hiyo supp huchomoi itakudaka tena maana sababu unazotoa hazina kichwa wala miguu atakudakeni hata buku nyie kama vilaza Dr afanyeje ni kula vichwa tu!
  10. The Pirate

    Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Jamaa kama unaogopa kwamba labda binti anaweza akajishebedua hadi mama ashtukie baada ya kumkaanga, dawa usipige kwenye mimaji wee mfumue MARINDA tu atakua mdogo kama pilton heshima na adabu!
  11. The Pirate

    Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

    Unachanganya habari kueleweka ngumu hivi mtoa mada umeoa au ni wale ambao ndo mnaanza mapenzi? Kwenye issue ya mke na mume hakuna hiyo kitu ya kupigana mizinga. Vibiriti ngoma ndo wanaopiga mizinga!
  12. The Pirate

    Sarafu ya sh 500 haina ubora!

    Aachane nao vipi.....
  13. The Pirate

    Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Ukimpuliza ndo umeharibu kabisa maana atakua ametimiza lengo, hapo atakuburuza anavyotaka utabaki haha hehe hoho Kuwa mkali huwezi mama atajua wala huwezi Kuwa na maamuzi tena utakua umekwisha binti anatamba mjengoni.
  14. The Pirate

    Jaribu hii

    Duuuh kapita bana!
  15. The Pirate

    Basi la HOOD T.770 AVL lapata ajali usiku huu Mbeya - Arusha

    Jitahidi kaka ukamilishe habari...vp hali za abiria, kuna vifo na majeruhi wako kwenye hali gani?
Back
Top Bottom