jamani basi mwenzenu nikawa nanunua muda wa maongez kutoka mpesa..kila nikinunua inakatwa yote.nikawa sielewi basi kuna mshkaj akanikumhusha kuna jaymillnyoko sijui..aisee nilikasirikaa..wakati cjawah hata kujiunga..popote ulipo wewe unaehusika na vodanyoko...SHE*N-ZI TYPE. nyau wewe na mnirudishie hela yangu. mnajua naitafutaje??