Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,915
Na hili nalo kumbe ni Siasa.huwezi kuelewa tunachoongea hapa kama hujui kemia ya kupata kutu kwa chuma. hebu rudi darasani kwanza.
Kazi kweli,zinatoka mtaumbuka humu.
Keleleee za bure,zikitoka uzi utaanzishwa tena,leo hata sina la kujibu.
Subiri kuumbuka,hapo ndio tutajua shule yako na yangu.
Yaani unajifanya kujuza kuliko Jopo la waratibu wa utengenezaji wa pesa hizo.Kazi kweli watu waliosomeshwa na kijiji wakija mjini kila kitu ushamba.