Sahihi kabisa hasa ukichukulia bei za mafuta vipuli na hata atitude za baadi yetu a abiria utakuta mtu anaita bolt inafika anamuweka mtu mpk dk 20 afu hio haiesabiwi au anarequest unafika anacancel umbali iluotoka mafuta uliotumia vyote havina maana kwa bolt hawakucompesate kwa lolote shida ni...
Hiyo ndo sisi wana wa Africa tunasema adui muombee njaa, hakika nawaambieni hakuna mwanasiasa atakaeiona pepo maneno yooote hamna kitu (hapo tumeona tofauti ya mwanaume na mwanamume).
Nasema km kuna kiama kweli kama dini zinavotueleza hakuna politician ataekwenda peponi wallah kumbe kuna mahela ya covid tulipewa yalifanya nini na watu karantini walijilipia?NO POLITICIAN WILL GO TO HEAVEN..
Imani yangu inanikataza kushirikiana na watu au vitu viovu sasa ninapoona watu wakipanda jukwaani kutuhubiria mambo mazuri alafu watu haohao wanatumia watu ambao si wasafi kiroho kuvutia umati ujae ili kuwakiliza napata taabu sana kuwaelewa watu hawa tena utawasikia wakitoa ahadi na viapo...
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote...
Usiondoke bro cc hatukuchagua chama tulichagua msigwa unataka kutuachia vichaa watuwakilishe ukiondoka tutampa another msigwa yahya dk km atachukua fomu hata ya TLP tutampa tu kuliko kumpa hayawani.....wapi mwakalebela??!!
True na ukweli ni kwamba hawataki kuukubali ukuu wa mtu mweusi but no matter what games&skims they do at the end they will aknowledge ukuu wa mtu mweusi time will tell wait and see
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.