Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,286
Rwanda kafukuza ILO na hakuna cha ICC wala mkwe wa ICC endeleeni kungoja meli airportSisi viongozi wetu wa Tanzania wametawaliwa na "UBISHI/KIBURI" cha kijinga sana. Hivi wanavyojifanya wehu wa kuelewa muda si mrefu watayapata wanayotaka.
UN Comission Of Human Right" ndio aliokua anasubiriwa kutoa tamko la mwisho. Sasa kazi inakaribia kuanza.
Usikose kufuatilia Episode ijayo ya "Mahakama Ya Kimataifa Ya Makosa Ya Jinai ICC".