Recent content by the hunterer

  1. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Makato ya kuhamisha pesa kutoka NMB kwenda NMB

    Usije ukathubutu kufanya mobile transfer utakuja kutoa ushuhuda hap jf. Nilihamisha 200k past three weeks ago iyo government levy ilikua zaidi ya 9k unless nilikua special case.
  2. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Hatimae Nimepata Bajaj ya mkataba! Upi ushauri wako?

    Gym na business cards ni unnecessary moves ambazo zitakuongezea gharama za uendeshaji. Ushauri wangu kula vizuri, fanya kazi sehemu yenye movement nzuri na uaminifu kwa wateja wako utatoboa.
  3. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 inatija kubwa kwa taifa na raia kwa ujumla, kilichobaki ni utekelezaji na usimamizi yakinifu katika kusimamia yale yote yaliyoidhinishwa kwenye bajeti hiyo.
  4. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

    Mara nyingi ukiwa na cash in bulk (fast track) lazima ukutane na meneja wa benk mzungumze na moja ya mazungumzo ni kujiridhisha na exactly source of money. Sio vibaya kwenda na maelezo yaliyo nyooka otherwise endelea kutunza kwenye kibubu
  5. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa muhimu

    Medical dispenser ama nurse mwenye ADDO anahitajika kuuza duka la dawa maeneo ya Lushoto, Tanga. Inbox kwa maelezo zaidi.
  6. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Hili tatizo lipo pia kwenye upande wa afya na imekua kikwazo kikubwa kwa watu wengi kushindwa kuendelea na maombi.
  7. the hunterer

    JamiiForums Tanzania NACTE wamefungua System kwa walikosa nafasi apply Sasa!

    Habarini wakuu,naomba kuuliza; Kupitia chuo ulichochaguliwa na nacte je unaweza kupata transfer kwenda chuo kingine na hatua gani hasa zinafanyika?
  8. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutwa majina ya mkopo

    mpaka sasaivi majina mapya yameshafika chuoni (muhas) mambo si shwari hata kidogo wengi kukosa mkopo(tuition fee)
  9. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Mapya MUHAS waliopata loan haya hapa

    Haya majina ni ya continuing student au inahusu mpaka 1st year!?
  10. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa MD Hubert Kairuki lakini nimekosa ada naombeni msaada

    Kairuki hata upewe mkopo asilimia 100 lazima uongeze zaidi ya 3M ili kukamilisha tuition fee so kijana ujipange vizuri
  11. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Haya ya HESLB, TCU na ukosefu wa ajira yanaumiza!!!

    Is not fair!!
  12. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    kwaiyo kwa kipindi chote hicho bodi imeweza kuhakiki wanafunzi elfu 4 kasoro tu!! TAFAKARI!CHUKUA HATUA.
  13. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Loan board wameachia Majina.

    majina yametoka ndugu
  14. the hunterer

    JamiiForums Tanzania HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    haipo vizuri bado,, Kila sector majanga kwenye maswala ya IT
  15. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Loan board wameachia Majina.

    kweli mkuu ukiingia OLAMS kuna applicants loan status ila web yao bado haijakaa vizuri
Back
Top Bottom