Recent content by The Humble Dreamer

  1. The Humble Dreamer

    Kufungiwa kwa JamiiForums Tanzania: Salaam za shukrani na mwelekeo...

    😅😅Hata sisi wa France tumetambulika leo
  2. The Humble Dreamer

    Ninaiomba Serikali iingilie kati kuhusu hawa panya wapya hapa Dar ni kero

    Ila watu wa Dar bhana, mmezidi kudeka sana basi Serikali itume timu ya uchunguzi
  3. The Humble Dreamer

    CAF huwa wanapokea Rushwa? Inakuwaje nchi isiyo na Barabara kuandaa Mashindano ya CHAN?

    Hivi Tanzania unaweza jisifia nini kwa mfano? Kila kitu ni kuoza, ni fremu za mwili tu ndiyo zinatembea lakini akili hakuna
  4. The Humble Dreamer

    Arusha: Catherine Magige alivyotoka ukumbini na kukataa kusaini matokeo

    Anatia huruma, Anavyoangalia hizo kura na haziendi kwa kasi kwake ndy pozi linamkata kabisa
  5. The Humble Dreamer

    Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

    2011 hiyo nilikua sekondari namaliza form four, 😉
  6. The Humble Dreamer

    TRA: Wafanyabiashara wa Mitandaoni mjisajili Ndani ya Mwezi Mmoja!

    Acha yatokeee tu kwani nini? Nyie TRA pia mkitaka mtutoze kodi kwasababu tuko hai, na hata tukifa endeleeni kutoza kodi miili yetu. Maana watanzania bado tuko kwenye evolution.
  7. The Humble Dreamer

    Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Wanatofautiana, Kuna ambaye napata 59K, wengine 60K, wengine 55K, wengine 50K, 52K .
  8. The Humble Dreamer

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kuna jamaa yupo kwenye hizo code za tgts, salary slip inasoma 47M, na inabaki 1ya3 bado nayo ipo maisha damu.. Sasa nimejuuliza, hivi hii hela atakuja maliza kweli awe huru? Mimi la helsb imebaki kama milion 5, kuna mishe napiga mahali, nataka nitoe hela yao nimalizane
  9. The Humble Dreamer

    Jacob Massawe asaini mkataba mpya Namungo FC

    Hii sura siyo ya miaka 33, ni kama 45 hivi
  10. The Humble Dreamer

    Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

    Hii kitu sitaki kabisa kuisikia, mwanamke ni mtu hatari sana hapa duniani, Ukishirikiana na mwanamke kwenye biashara, mda si mrefu anakua nyoka
  11. The Humble Dreamer

    TANZIA Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20

    Mapema tu, Kuna madogo fulani pale tabora waliamua kumtanguliza babu yao kwa kumyonga baada ya kuugua kwa muda mrefu bila kupona, gharama ziliwashinda
  12. The Humble Dreamer

    Muhtasari wa Kitabu: The Winner’s Law – by Bodo Schäfer

    Hata na mimi ninatafuta mda huu sikipati, naendelea kukisaka, nikipata naweka hapa
Back
Top Bottom