- Feb 10, 2006
- 4,432
- 15,845
- Thread starter
- #61
Kabisa mkuu, ukiwaona walio ACTIVE nishtue tafadhaliWakongwe wote walio active kuanzia 2006 hadi 2009, wape hiyo title.
Kuwa kwao active ndio imekuza platform
Kabisa mkuu, ukiwaona walio ACTIVE nishtue tafadhaliWakongwe wote walio active kuanzia 2006 hadi 2009, wape hiyo title.
Kuwa kwao active ndio imekuza platform
Hii safari haijawahi kuwa rahisi. Kwa wakongwe kama wewe mnajua tumepitia mangapi.
BTW, nakuzawadia pia Platinum Membership kwa kuwa active since 2007!
Imebidi nicheke na kukupongeza,😀Niseme, kwa wateja wetu walio Tanzania, jukwaa halipatikani
😅😅Hata sisi wa France tumetambulika leoNilipokua mdogo niliambiwa nikiwa mkubwa nitakuwa na busara na mafumbo kibao ila hadi nimefika hapa sijafikia kiwango cha Max kutuhamishia wengi wetu Rwanda na nchi jirani katika salamu zake za shukrani, wakati anafahamu tupo naye hapa hapa Bongo ili mradi tu kakwepa mtego wa TCRA na ugomvi wao wa Vipieni
Mkuu naomba unicheck pm.Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha. Natambua kuwa bado kuna ambao sijajibu ujumbe au kuwarudishia salamu zao, si kwa makusudi; napenda kuwafahamisha kuwa salamu zilikuwa nyingi, lakini ninaendelea kujibu kadri ninavyoweza.
Nilipokua mdogo niliambiwa nikiwa mkubwa nitakuwa na busara na mafumbo kibao ila hadi nimefika hapa sijafikia kiwango cha Max kutuhamishia wengi wetu Rwanda na nchi jirani katika salamu zake za shukrani, wakati anafahamu tupo naye hapa hapa Bongo ili mradi tu kakwepa mtego wa TCRA na ugomvi wao wa Vipieni
Mkuu naomba unicheck pm.
Shida iko palepaleMkuu naomba unicheck pm.
Usiview sehemu niliyolike, view post yangu ndo utaona sehemu ya pm
Ivo yaan🤒Yajayo yanafurahisha 😎
Ooh😂 nadhani nazeeka sasa😂😭😂Usiview sehemu niliyolike, view post yangu ndo utaona sehemu ya pm
Hii tuzo inakuja na benefits gani kiongoziii 😃😃😃Good to see you around mkongwe.
Unastahili tuzo ya Platinum Member