Recent content by The ghost writer

  1. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Mafuta, mafuta, mafuta; Wiki ijayo EWURA wanakuja na bei mpya

    Bado hapatakuwa na unafuu turudi zile enzi za baiskeli za Phoenix
  2. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2026/2027

    Bado sijaona Uzi wa real Madrid
  3. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Njoo kwanza ukifika ndipo nitakununulia...
  4. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mbona umemkandia uncle unabifu nae? , au alikula nauli na hakuja.
  5. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Njoo ukiwa umevaa umependeza sio unakuja kiuganga
  6. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Fire in the name of Jesus I comando urudi ulipotoka.
  7. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Siwezi fika mombasa🙏
  8. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Njoo Tabata kimanga.
  9. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Niambie uko wapi nije niichuke mwenyewe
  10. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Aah uncle mshana uliwaza Nini?😅
  11. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Seriously? Utanipa Kweli au unanichora
  12. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kidogo kile unachokijua
  13. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mda wa kuselfie
  14. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    Yeah shukuran kwa maoni. Wimbo Bado upo kwenye process. Kila ushauri nitaufanyia kazi especially hapo uliposema lyrics zinahitaji beat la kuchezeka Ili mtu asifocus nazo
  15. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    " I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh uh uh uh uh uh uumh Uh uh uh uh uh' u' umh Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth Kick- "uh"...
Back
Top Bottom