Huyu
Itakuwa amecopy aka paste kwenye AI itafsiri kwa Kiswahili halafu akatuporomoshea kama yalivyo, sidhani kama mtu mwenye akili zake anaweza andika vibaya hivi, ni bora mara 100 ungepaste kwa Kiingereza hicho hicho au ukatafsiri mwenyewe kuliko kutumia AI kutafsiri unaonekana wa ajabu sana...
B
Bashite na Mond watakuwa mashahidi wazuri sana 😂 wa hii kauli yako. "Almasi(Mond )itageuka kuwa maji taka"& "nimekufuta kwenye ulimwengu wa siasa na uongozi(Bashite)" mwisho wa kunukuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.