Recent content by the bidhaa

  1. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Good morning billionaires,,hiyo ni saa 8 mchana jua Kali la utosi😅😅
  2. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

    Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
  3. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    sawa mkuu
  4. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu,hivi nawezaje kupata access ya vifurushi vya M2M halotel?,,
  5. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Argentina wanacheza kipumbavu mno,kila mda ni back pass tu aaaaahhhh😃😃 yanakera kweli
  6. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Nchi hii saiv iko kwenye Auto pilot😥😥
  7. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Rais ni Binadamu sio Malaika, anaruhusiwa kukosea kwa kuteleza ulimi (a slip of a tongue). To err is human, nawaomba isiwe nongwa!

    hatupokei maelezo,hiyo ni rushwa mkuu,we huoni hata ufafanuzi wa Girishoni anasema et Tani badala ya Litre/gallon😁😁
  8. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    @ INSIDER MAN kuna ujumbe nilikutumia kwenye email yako, naomba ufungue tafadhali
  9. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    😅ulipaki gari kwenye ofisi Moja ya serikali hapo Kasulu mjini
  10. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Mkuu nilikuona Kasulu asee na hiyo gari,jtatu iliyopita😀😀
  11. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Pumbavu🚮🚮🚮
  12. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

    Muhuni huyo,anatafuna mali za Tanganyika vile apendavyo na hamna wa kumzuia😭
  13. the bidhaa

    JamiiForums Tanzania Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

    Naomba uniambukize na mimi please 😊😊
Back
Top Bottom