Recent content by The Anfield

  1. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na nyie Man yuuu mna miaka mingapi??
  2. T

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man UTD mmelipa Bei Gani kununua ma viungo ya boli Santos,dogo Baleba na Tielemans na mpo nafasi Ngapi Ligi na UEFA🤓
  3. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Binafsi siioni kikitokea km wadau wengine wasemavyo umu na majukwaa mengine, labda sana sana watakatwa pointi,kushushwa madaraja,faini na kufungiwa usajili... Yule waziri mkuu mpya Uingereza bunharm sijui kaingilia kati anadai hao wawekezaji wa Saudia ni watu wazuri sijui ni nini na pia brand ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Man city km Benyamin Netanyau
  5. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na Rashford mpemba? Na hapo Kuna wengine huwa hawaitwi mara Kwa mara timu ya taifa sasa hayo magoli atafungaje wachambuzi nongwa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Upo sahihi lazima city waadhibiwe wakipatikana na hatia kulinda pia credibility ya Ligi ya Uingereza,maana wamekata rufaa, lakini za chini chini zinasemwa pia Man UTD ya Babu Fergie nayo ichunguzwe pia, lakini wataadhiwa kulingana na Sheria za soka za Uingereza sio Kwa mihemko na Kwa matakwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Intermarriage saivi zimeshika sana uchaggani

    Mbona ipo wazi toka kitambo! Wanawakimbia wanawake zao wa kichaga Wana roho za kiisrael mfno wa machame, plus gubu,dharau na hawana mahaba ya kike, pesa tu 24/7... Na wachaga kike pia wanaolewa sana wasukuma na wakurya sababu Wana ka ubabe flani ivi... Lakini wewe mhaya au mnyakyu mjuaji...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kupata pisi Kenya ni rahisi kuliko Tanzania

    Wanasema wengi Wana umeme😭
  9. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hao watakuwa Mashabiki Chelsea,Man UTD,Tottenham,Newcastle na Man city pia(Liverpool hayupo)... Km wa Chelsea na Man UTD wamekuja kutoa stress zao umu sbbu ya trending mbaya ya ma timu yao inayonusurika kushuka daraja msimu zaidi10 sasa😸🤓🤓
  10. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na still kufunga kwake ikawa kazi Bure hawajapata pointi3 "MUHIMU" km Mbappe tu top scorer mashindano Karibu yote bila taji lolote msimu Mzima.
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EACOP vs Lamu pipeline

    Sasa unafurahia nchi yako ya Kenya kuwa na balozi nyingi za Wazungu na viwanda nk wanazonufaika nazo wenyewe kimkakati, mnafurahia kuwa vibaraka/puppet wa Marekani/wazungu si utumwa mamboleo, utumwa wa fikra na ukoloni mamboleo una utukuza hapo bila kuelewa!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

    Bro, huoni Israel na sapoti anayopata kutoka US na baadhi nchi za EU, anavyozidi kusogea kwenye ardhi za Palestine/Gaza,Lebanon na Syria
  13. T

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

    Atagawana vipi na Iran wakati hapakani nayo Kwa nchi kavu, labda Kwa Bahari na ni kipande kidogo na hapo mpaka azuie mashambukizi ya kambi za Marekani zilizo jirani yake kutoka nchi km Kuwait, Bahrain,Qatar na UAE
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi wa Marekani: Trump ahaidi kuwalipa Wamarekani Republicans wakishinda

    Vipi kama akitoa kwenye utajirivwa Mali/biashara zake na sio bajeti nchi?? Na Sheria za Marekani wenzetu wanaruhusiwa kutoa "takrima" Kwa wapiga kura?? Uku sisi tunaambulia buku 5(dola2) na vikofia na vijora Kwa dada zetu Tena kimagendo tu😝😝
Back
Top Bottom