Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

Kama ni muelewa na yupo vizuri financially hawezi kusita kukusaidia.
 
Inategemea mpo close kiasi gani, unajua kuomba mtu pesa sio kitu rahisi ila ukaribu wenu ndio utakufanya ufikie hitimisho niombe au nisiombe.
 
Naanzaje sasa mkuu,wengine hatujui kuomba?
Tumia njia ya mazungumzo yaliyozoeleka baina yenu, kama huwa mnatumia lugha za mkato na za mtaani mwambie tu "fanya maujanja hapo laki 2 ya chap"
Kama mna maongezi ya kiutu uzima nenda naye hivyo.
"Kipenzi, habari ya kazi na pole na majukumu, nisaidie laki mbili baby kuna jambo gumu limenifika, niwezeshe ili kuninusuru, please baby fanya hivyo mama!!
 
Back
Top Bottom