Recent content by Thatdumbgirl

  1. Thatdumbgirl

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Ila I've come to the realization that people change their habits for people they don't want to lose or people they like. Maybe that's the reason anaendelea kuwa mchafu,he doesn't care enough. Leave that relationship.
  2. Thatdumbgirl

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Anatangaza ili wanaume wachafu kama wewe mbadilike.
  3. Thatdumbgirl

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Thatdumbgirl

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Ah wapi! Aende for psychotherapy na rehabilitation. Kama huwezi badili Tabia zako mbaya ukisubiri mtu akupende na akubadilishe you are nothing but a manipulator and abuser. Uchafu ni sign ya uvivu na uvivu ni indicator ya underdevelopment. Wako binadamu wanaoishi maisha ya shida wanaohitaji...
  5. Thatdumbgirl

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Nimeandika Uzi wangu nataka mwanaume msafi, wanaume wachafu wamepanick. I swear unaweza pata a life partner anakupenda Ila small habits kama hizi zinakuja kuvunja mahusiano. Wanaume wachafu badilikeni, especially small minded men who think being dirty is manly.
  6. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    Thanks, but you have to understand that I'm not looking for perfection. Just looking for a right partner.
  7. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    Asante Snow white. Asante.
  8. Thatdumbgirl

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Unajisikia raha sana kuwanyooshea kidole na kuwahukumu wamama wasio na hatia. Unafanya hivyo kwa sifa sana na supremacy ukitumia Biblia Ku justify matendo yako. Unasahau unayemhukumu hapa ni mtoto anayemfanya huyu mwanamke kuitwa mama. Yesu anasema, 'waacheni watoto wadogo waje kwangu.. '. Do...
  9. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    We ndo uache mazoea, mwanaume gani wewe? Huna kazi ya maana ya kufanya zaidi ya kuharass women in social media. Unadhani kuna mtu anataka kushindana na wewe kutukana? I'd like to let you know you are in a wrong platform, we can't be dragged down to your level of stupidity. Funny, nobody said...
  10. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    Can't date my classmates, I also try to go to dates with some men...but some are so full of themselves, others are too childish. I'm trying though. But sitaki kuwa na just anyone, I'll wait.
  11. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    Asante kwa kunielewa[emoji171][emoji171]
  12. Thatdumbgirl

    Kuna baadhi ya wanaume tuna roho za kishetani, leo mpaka nimetoa machozi kwa huyu dada

    Kuwa na akili za maisha kama huyo dada ni muhimu sana, Ila cha muhimu zaidi ni kutokubali kuwa boya katika haya maisha. . Uboya ni udhaifu mkubwa sana. Kuna wanaume wanapigwa na wake zao sio kwasababu hawana pesa au hawana akili ila ni uboya. . Ukiona huheshimiwi ndani ya mahusiano ujue...
  13. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    [emoji849][emoji849][emoji849]weirdo
  14. Thatdumbgirl

    A letter to my future lover

    Amen to that, may God fulfill your's too.
Back
Top Bottom