Boyfriend wangu ni mchafu sana

Ndiyo nimemuita hivyo kusudi sababu ni miongoni mwa watu wanaoni crush..!!
You never know we can be good friends!
Friends with your crushie hayo mambo ndo siwezi nshawahi kuwa na crush binti Fulani na alijua nampenda nilimwambia akakataa na yeye alikuwa ananipenda sema sjui mnashindwa kuji express na alikuwa hachoki kunitafuta na kuni text nikaona sasa huu utakuwa ujinga nikaacha kujibu text zake akawa analalamika ila hachok kunijulia Hali nikabadili namba maana kuendelea kumtext na kumuona wasap roho ilikuwa inauma hivi hapo nilikosea?

Unataka umuweke jamaa kweny friend zoned bora na yeye atoweke tu
 
Unabadili No sababu ya mtu tena mmoja seriously?? Mie huo ujasiri sina na nowadays ndo siamini katika ku block mtu kabisa..!! Naonaga ku block mtu ni kutokujiamini naku ignore mpaka unaji block mwenyewe.!!

Me I do trust more in friendship rather than being lovers.!! Ujue mkiwa friends mtu anakuwa so open kwako hawezi fake! Wakati mwingine mapenzi yana expire kwa sababu ndogo na za kijinga, Friendship lasts.!!
 
Yeah of course enzi hizo.. na upo sahihi friendship last for a lifetime

Ila kuendelea kuwekwa friend zoned hapana kwakweli bora nipotee tu
We unaweza ?
 
Kama nimekupenda sana and there's no way twaweza kuwa pamoja?? Let's be friends nitaridhika, nikuone tu hapa nishare na Wewe my ups and downs! Nafarijika.!!
 
Unabadili No sababu ya mtu tena mmoja seriously?? Mie huo ujasiri sina na nowadays ndo siamini katika ku block mtu kabisa..!! Naonaga ku block mtu ni kutokujiamini naku ignore mpaka unaji block mwenyewe.!!

Me I do trust more in friendship rather than being lovers.!! Ujue mkiwa friends mtu anakuwa so open kwako hawezi fake! Wakati mwingine mapenzi yana expire kwa sababu ndogo na za kijinga, Friendship lasts.!!
Well said
 
Kama nimekupenda sana and there's no way twaweza kuwa pamoja?? Let's be friends nitaridhika, nikuone tu hapa nishare na Wewe my ups and downs! Nafarijika.!!
Tatizo bongo wanaume wengi wameshajiwekea mtazamo kwamba mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa marafiki wa kawaida eti mwanaume akiwa na urafiki na mwanamke bila kumtafuna ataonekana boya khaa
 
Hilo sawa wanaweza kuwa marafiki
Tatizo bongo wanaume wengi wameshajiwekea mtazamo kwamba mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa marafiki wa kawaida eti mwanaume akiwa na urafiki na mwanamke bila kumtafuna ataonekana boya khaa
Ila kama mtu una hisia nae umemwambia ukwel amekataa amekwambia tuwe marafiki ni vigumu Sana

Hakuna mwanaume anapendwa kuwekwa friend zoned
 
Tatizo bongo wanaume wengi wameshajiwekea mtazamo kwamba mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa marafiki wa kawaida eti mwanaume akiwa na urafiki na mwanamke bila kumtafuna ataonekana boya khaa
Na ukionekana una urafiki na jinsia ya pili basi tena huyo unatoka naye, sijui ni kwanini watu wako so negative to that extent mtu hawezi kukuwazia jambo jema hata siku 1,

We have a long way to go kwakweli, ustaarabu ni miongoni mwa kitu waafrika hatujajaliwa.!!
 
Yaani hatujajaliwa kabisa lakini cha ajabu tunajiona tuko sahihi na wazungu wakijaribu kuletea ustaarabu, tunawatukana eti tunasema wanataka kuteletea ushoga na usagaji yaani waafrika tunajivunia ushenzi wetu.
 
Ni lazima tujifunze kuyachukua yale mema na mabaya tuwaache nayo, ukitaka kujua vile tupo so low minded utagundua tunapenda sana kucopy vitu visiyo na msingi wala maana yoyote, vyote vyenye maana hatupotezi muda hata wa kuyajifunza.! Sijui tunakwama wapi.!!
 
Tatizo wanaume wanachagua yale wanayoona yanawafaidisha wao tu ila yale wanayoona hayawafaidishi kabisa wanasingizia kwamba yanataka kuleta matatizo kwenye tamaduni zetu na hapo ndipo shida ilipo
 
Ila I've come to the realization that people change their habits for people they don't want to lose or people they like.
Maybe that's the reason anaendelea kuwa mchafu,he doesn't care enough.
Leave that relationship.
 
Back
Top Bottom