Recent content by That_Big_MAN

  1. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaachiwa Tarehe 6. Lema ndicho alitaka kusema, lakini ameandaa vita na wanaharakati ambao hawataki maridhiano. Kipima upepo

    CHADEMA hawajakataa maridhiano, walichokataa ni Maridhiano ya hadaa. Tukumbuke CHADEMA walijaribu maridhiano 2022 wakagundua kuwa wanatapeliwa tu.
  2. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Buriani Amina Chifupa!

    Enzi hizo.
  3. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Hujajibu swali, Uislam ulikuwa na mchango gani kwenye invention ya Algebra? Je, Quran au mafundisho ya Uislam ndio yaliyomuongoza? Asingekuwa muislam asingeinvent?
  4. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Al khawarithim, huyu bwana ugunduzi wake wa Algebra ulikuwa na uhusiano gani na Uislam wake?
  5. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Huu mtanange haunaga mshindi daima sababu huwa unajadiliwa kwa hisia na imani.🤣 inabidi tu uwe mtazamaji.
  6. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    NCCR ilidominate from 1992 to >2000. 2000 to 2007 ilikuwa ni era ya CUF chini ya Prof Lipumba. Unakumbuka 2005 Lipumba alisusia kuapishwa kwa Kikwete?
  7. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

    Yeah nimeona. Wamemfanyia roho mbaya.
  8. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

    🤣 lori anatanuaje wakati hakuna pa kutanulia.
  9. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Binafsi mfumo wa Parliamentary Democracy huwa naona ni mfumo bora sana katika nchi hizi zetu za kimaskini. Tunakuwa na mkuu wa Nchi(Rais) na Mkuu wa Serikali (Waziri Mkuu). Sisi wananchi tunapaswa kudeal na PM kila iitwayo leo, maana ndiye tunamkabidhi hela zetu. Mfano Israel, Ethiopia...
  10. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Haya mapinduzi ya Uingereza huwa yanatoa somo kubwa sana kuhusu mabadiliko ya mifumo ya kisiasa za kijamii kuwa mabadiliko hayatokei kwa tukio moja tu la mapinduzi. Mwaka 1649 mapinduzi haya yalimuondoa Mfalme Charles lakini ukaingia tena ukandamizaji mwingine ambapo miaka takribani 40...
  11. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Au nikusimulie sababu hasa ya kuzaliwa kwa Demokrasia Ulaya (Uingereza, Ufaransa, nk) kupitia mapinduzi mbalimbali ya kisiasa? Pata muda tujadili hii mada
  12. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Hii umeweka ya nini? Afrika ina maamuzi gani kwenye masuala ya dunia? Umeharibu tu makala yako. 2. Upande wa Afrika Bara la Afrika limegawanyika katika makundi makuu mawili kutokana na maslahi ya kiuchumi, kijeshi, na kihistoria
  13. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

    Mwanadamu ambaye tatizo lake kuu la kwanza ni njaa, usimuamini au kumtegemea.
  14. That_Big_MAN

    JamiiForums Tanzania Shairi: Msitu wa Wanyama

    Nimekaa nikitafakari, kwa uchungu na simanzi, Nikaona mabadiliko, yasiyo na mwelekeo, Taifa letu la kale, lenye sifa na uwezo, Limekuwa uwanja wa pori, lenye sheria za ovyo. Sifa njema zimefichwa, zimesalia kelele, Tumegeuka wanyama, tunaoishi kwa shida. Kwenye lile baraza letu, lililojaa...
Back
Top Bottom