Recent content by Thabith hussin

  1. T

    Bora wakurugenzi kuliko hao watakaoteuliwa na NEC, Tume huru ya Uchaguzi ndio suluhisho pekee

    Hapo mkuu umenena usitoe ahadi ya pesa ukiwa na furaha
  2. T

    Lowassa atembelewa na Madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza

    Atuchekani kabsa ss tulitembea tanzania kumuita fisadi papa na bado akagombea urais akashika nafadi ya pili na kupata wabunge wa kuridhisha hii bdio siasa
  3. T

    Vita ya Urais ndani ya CHADEMA 2020, Mbowe ajiandae kisaikolojia Segerea

    Mambo ndio yanaanza yetu macho wapiga kura tusuburi subra yavuta khei
  4. T

    Ng'ombe waliokatwa Mikia ni Bomu hatari litakalolipuka 2020

    Hawa wahamiaji watakuwa na nguvu ya kuisabaratisha ccm Bali watakuwa wapole sana ata kama watakosa fursa za uteuzi za kura ya maoni watapata fursa nyingine kipindi hiki wameangalia 2020 awatakuwa na uwezo wa kupambambana majimboni na kushinda kupitia chadema
  5. T

    Leo nilienda Mloganzila, kwa kweli sina la kuongea zaidi ya kusema asante Kikwete na Magufuli

    Sawa mkuu mlonganzira kama Serena hotel kikubwa tuwe watunzaji wa majengo na vifaa vilivyofungwa
  6. T

    Musukuma: Tuliinunua CHADEMA kwa bilioni 78

    huyu ni wa daraja la saba kabsa
  7. T

    Ni muda muafaka kwa Maalim Seif kuhamia CHADEMA

    Ni kweli mkuu lakini sio ufumbuzi wa kudumu wa ratizo wazinzibar na wa bara wanatofautiana na mengi sana cuf ni maalim na chadema ni mbowe
  8. T

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Upo sahihi mkuu ujawai kuwa mnafiki hata siku moja utaratibu upo vipi wa kuchaga huo mchango
  9. T

    Wateule wa Rais: Je, wanafanana? Kuna wengine kama wameokotwa tu, na wengine ni wapakwa mafuta Msijilinganishe

    Mkuu upo sahihi kabsa mimi sio bingwa wa kuandika wala kunena usema kwa niaba ya wengine ndivyo tunavyofikiria wengi tusubiri msiba uishe ni muhimu kwa walimu na wanafunzi wa shule zetu
  10. T

    Tujiulize kwanini Rais wa Ethiophia kawa mashuhuri sana!

    Wapinzani wa kwetu wanunua kesi wao wenyewe kwa manufaa yao kisiasa sio kuwapinganaia raia hawa wanyonge waliochoka
  11. T

    Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

    Hivi leo mbowe akitangulia mbele ya haki ndio utakuwa mwisho wa chadema tuache mapenzi yaliyopitiliza tujitatafakari wajitafakari wamejikwaa wapi hili ni tatizo kubwa la viongozi kuhama viongozi wajitafakari
  12. T

    CCM mnunueni Sugu haraka Mbeya tupate maendeleo...

    Mmmm haya mambo makubwa tusubiri 2020
  13. T

    Familia ya Edward Lowassa imewastukia CHADEMA!

    Yajayo yanafuraisha
Back
Top Bottom