Kwa hali ya mgogoro ulio dumu ndani ya CUF na kwa jinsi Maalim alivyo jitahidi kutafuta suluhu bila ya mafanikio inatosha kabisa kumshauri Maalim ahamie CHADEMA.
Lipumba kwa kutumiwa na vibaraka wake ameivuruga CUF kiasi kwamba sio rahisi kwa chama hicho kurudia hali yake ya zamani, dawa pekee ya kumkwamisha Lipumba na kumpoteza kabisa kwenye siasa ni Maalim kuhamia upande wa pili, hili jambo lina mkosesha raha sana Lipumba na genge lake, kwani hiyo ni kete ya ushindi kwa Maalim Seif , Lipumba anafahamu wazi kuwa endapo Maalim akitoka basi na yeye na wahuni wenzake watakuwa wamefikia mwisho wao.
Wanzibari ni watu wanaojitambua , ni watu wanaohitaji mabadiliko ya kweli katika kero zinazo wasumbua hivyo wanapojitokeza watu kama akina Lipumba wanaojali matumbo yao kuliko kushughulikia matatizo ya upande wa pili matatizo ambayo Maalim ameyaishi, kwao hawaoni shida kuhamia CHADEMA ili waendelee kupigania kile wanacho ona kwao kuwa ni haki yao.
Na niukweli usio pingika kuwa CUF Zanzibar wanasubiri kusikia tamko la Maalim Seif ili wahame naye. Lipumba hana lolote la kuwasaidia Wazanzibar mbali ya usaliti aliufanya .
Imefikia tamati Maalim hamia CHADEMA ,wanachama wako nyuma yako.