Recent content by tha lostchild

  1. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatuna dhambi

    [emoji1787][emoji1787]we kuna kwel!
  2. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

    Hi ishu ya kashogi ilisukwa vizur tu lakin kama zilivyofeli za kina ulimboka nayo ilifeli....walijaribu kuudangny ulimweng kuwa kashogi alitok salam ubalozini
  3. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kile kiapo cha damu hiki hapa

    We hapa naona uko spiritual... Damu ni uhai.so unapo kunywa dam inakua umeingiza uhai mwingine ndani yko...kwa hiyo hapo kuna vitu lazima viende tofauti..kiuhalisia
  4. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kile kiapo cha damu hiki hapa

    Broo mshana Jr huna group ya WhatsApp?
  5. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

    Habari wana jukwaa.natumai ni wazima.... Natumai braza msaha pia uko poa. Juz kat nilipitia Uzi wako unalikua ukizungumzia nguvu ya chumvi ya mawe.Niliuelewa Bas sikusita kwenda sokoni na kitafuta chumvi ya mawe na kufany kama ulichofundisha...ishu uko hapa sasa... Baada ya kuoga kwa Siku kadhaa...
  6. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Msaada Kiswahili: cha neno Conscious mind na sub conscious mind

    Nachweza kuchangia hili kabla ya kutatuta maana kabisa ya haya maneno...kweny hii Mind kuna mgawanyiko wa sehen mbili. Nazo ni Consious mind na Sub conscious mind,sasa hi sehen ya conscious mind in sehem ambayo binadam anaweza kuitawala yy mwenywe kwa aslimia zote....mfno unapanga nin cha kufany...
  7. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi nilivyousoma mkataba mpya Kati ya Serikali na Acacia,Watanzania tunaanza kula matunda ya awamu ya tano

    Weka hapa hiyo copy ya mkataba uliousoma,, maana tunatifautiana uekewa.
  8. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania South Africa : President Cyril Ramaphosa condemns xenophobia

    Msikilize na hapa ndio utajua mini maana ya mwanasiasa!
  9. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kukutana na warembo wa JF raha sana!

    Sizitaki mbichi hizi
  10. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Wanawake safarini hawajui kukataa

    Toa hof kaka hayo ni maneno tu.inatgemea kama mkeo mtaani ni mrahis bas safarin hato badilika
  11. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kwa uandishi huu Magazeti yenu yataendelea kudharaulika tu!!

    Nahis huy atakua na udugu na shigongo,c bure hapa kuna udugulizetion
  12. tha lostchild

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

    Mi naona ni habari za kufikifika tu
Back
Top Bottom