Recent content by Teyan

  1. Teyan

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Michael Katembo RTD
  2. Teyan

    Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aikataa ofisi ya Mbunge

    Yaani sijui inakuwaje, kwasababu sidhani kama Magomeni iko katika jimbo la kibamba
  3. Teyan

    Mzazi wako ndio mungu wako wa dunia

    Yeah, sio wazazi wote ni wazuri kwa watoto wao, ,na kadiri siku zinavyoenda tunashuhudia maovu mengi wazazi wanafanya kwa watoto wao, mf. kuwabaka, kuwalawiti, kuzaa nao, kuwachoma moto mikono, kuwaua, kuwafanya kitega uchumi kwa kuwauza kingono, kuwanyima chakula, kuwatelekeza n.k, sio wazazi...
  4. Teyan

    Binti yangu kakua, na mama yake tumeishaachana, Je nitamsaidiaje?

    Huna Dada yako yaani Aunt wa mwanao amwelezeee or Mama mstaarabu mtaani au ukitaka unaweza ukampeleka hata hospitali kabisa ukamkabidhi kwa nesi or Doctor mwanamke amwelezee
  5. Teyan

    Msaada: Alimuaga anaenda Karach, sasa akipigiwa simu hapatikani

    Rafiki zake na ndugu zake wa karibu akiwaulizauliza anaweza pata mwanga kuhusu huyo mtu wake anafanya nini huko, sidhani kama marafiki wote wa karibu wa huyo mwanaume watakuwa hawajui kitu, yupo anayejua hiyo ishu iliyompeleka huko nadhani
  6. Teyan

    Ana boyfriend lakini anasomeshwa na jamaa mwingine anayemtaka

    So huwezi kumuendeleza kielimu mtu wako hata kama wazazi wake wameshindwa kumsomesha, humpendi, mtu unayempenda kwa dhati ni rahisi kumfanyia wema wowote bila kutegemea naye akulipe wema kwa kiwango kile kile or zaidi
  7. Teyan

    Ana boyfriend lakini anasomeshwa na jamaa mwingine anayemtaka

    Asimwambie ukweli wowote, hata ikiwezekana amtafutie sababu nyingine ya kuachana naye, aachane naye, amfuate huyo anayependa maendeleo yake, na asitake huyo wa zamani amjue huyu mpya ndiye chanzo, wacha aje kuhisi hivyo baadae, asiwafanye wajuane amletee beef mwenzie, huyo wa zamani hamfai...
  8. Teyan

    Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

    Achana na hao wapuuzi, ikiwezekana waseme live yeye na Mumewe
  9. Teyan

    Hivi wakuu utamgunduaje mwanamke mweupe?

    Mwanamke mwenye weupe naturally akikaa sehemu yenye mwanga hafifu bado anang'aa vizuri, anaonekana bado ni mweupe lakini anayetumia mkorogo/kujing'arisha kama si mtu mweupe kabisa naturally akikaa sehemu yenye mwanga hafifu anaonekana maji ya kunde or mweusi yaani utaona weupe wake mpaka...
  10. Teyan

    Dogo Asley afiwa na mama yake mzazi

    Pole sana Dogo Asley
Back
Top Bottom