Girls and women, take it from me

Girls and women, take it from me

Ww unavaa wig au unasuka kawaida???

Wanawake wengi wanavaa artificial hair kwa sababu ya kutojiamini na uzuri wao wa asili

Nasuka kawaida nikichoka naweka dawa
 
eee bwana hapo wanaoishi kwa mama ni shiiida,,

ila kama nimuelewa mnakaa kwenu unamuwezesha hata mil. 1 auze hata maji nayeye jion apige mahesabu kama wanaume wenzake tehtehteh

am speaking from my soul, kama ni bf/ mwanaume wangu sijui niko naye na nina kipato nampa kabisa aanzishe biashara yoyote maana nsipompa atanitegemea hadi vocha na atakosa kujiamini utakuta kaugomvi ka kawaida atawaza una mnyanyasa.

ni bora ni mpe ili nayeye alete anachopata kama mimi kumuacha mume awe anaaibika kashika tama viudalali vya ajabu ajabu mtaani ni aibu yako wewe mwanamke pia. nampa akifanikiwa ama akazila na mademu zake nikiacha kumjali asilaumu. over.

Sukari Yenu unanipenda ili unichune vihela vyangu eeehhh, hebu magufuli aongeze kwanza. usifikir natoa kijingakijinga tu nakuchek kwanza nijiaminishe uaminifu wako na unapenda kufanya kazi mtaji ndo kikwazo tu au! kazi usharobaro tu, ukileta usharobaro ooohhh na degree yangu cjui nini siwez uza ubuyu, samaki nyanya nakuacha hivyohivyo uwe yahya utakula ugali na watoto tu na papuchi upumzike eeehhh


Wanawake kama wewe mnapatikana wapi??!!
 
No.7....subiri kuna mtu ntamwambia...acha achukie tu
 
Sipendi mawiving na mawigi please girls pigeni hata madongo basi ni Mara mia zaidi ya hayo madude kichwani
 
Namba Nne Iwafikie Wote Wenye Tabia Hiyo na Wale Wapenda vya Watu
 
Back
Top Bottom