Recent content by Texas Tiger

  1. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania ya Pili Afrika kwa Wagonjwa wa Kisukari, kiwango chaongezeka kwa Asilimia 250 tangu 2011

    Aisee hii hatari. Watu wafanye mazoezi wapunguze uzito. Watu wenye vitambi na uzito mkubwa mnanisikia?
  2. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabora wanufaika na elimu na suluhu za masuala ya ardhi

    Ni kweli hii ni serikali haramu. Kuhusu wao kuwa mbwa sifahamu.
  3. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Lissu HAWEZI kukutwa na hatia. Fahamu hilo. Ushahidi wa serikali haramu hauna mashiko. Treason ili itokee lazima kuwe na mipango/njama tena kwa vitendo kama vile silaha zilikamatwa(zilizopagwa kutumika kupindia serikali), kikundi cha watu (kwa maana hii Lissu na kikundi chake), sasa haya yote...
  4. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Tulikosea sana kumnyima nchi Lowasa sasa tunakosea tena kwa Tundu Lisu

    Nakubaliana na wewe kwa Tundu Lissu. Lissu ni akili kubwa, huyu ni president ajaye. Save hii comment.
  5. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank imekaaje? hii riba ni sawa?

    Kama mshahara unaruhusu mwambie achukue huo mkopo kwa miaka 3 na miezi 9 (miezi 45). Kila mwezi awe analipa 1M. Ataokoa karibu 9M kwenye interest. Akichukua miezi 72 (miaka 6) kwa hiyo riba ya 16.5% atalipa 19.8M. Think about that.
  6. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania HOJA Maji mengi ya Kampuni hizi kubwa nahisi yana harufu flani ambayo si nzuri

    Kama upo Arusha nunua maji yanaitwa Jibu 💯
  7. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    Mkuu kipigo ni kipigo tu. Usilete taharuki. Polisi wataendelea kupigwa na wananchi hii si mara ya kwanza na haitakuwa mara ya mwisho.
  8. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Acha uoga ndugu. Hii si mara ya kwanza polisi kupigwa na haitakuwa mara ya mwisho. Kipigo ni kipogo tu.
  9. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiapo kimemtetemesha Ndejembi Wakati akila kiapo cha Makamu wa Rais

    Niliona video moja dada fulani alikuwa anatoa hotuba/ushahidi sehemu sikumbuki vizuri aisee alikuwa anatetemeka mwili mzima kwa nguvu. Nadhani hii inaletwa na hofu, watu wengi wanakuangalia, unaogopa utakosea etc. Kitabu hakina chochote.
  10. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Yes, income ni main factor. Ila kwa lugha rahisi kama biashara ina MRR kubwa zaidi si ajabu mtu akawa anajilipa 6M kwa mwezi kama personal income huku bado biashara ikiwa na pesa ya kucover expenses na kufanya reinvestment. Ndio maana nilipozungumzia hiyo lifestyle nilikuwa namaanisha mtu mwenye...
  11. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Budget ya mtu binafsi inaamuliwa kulingana na priorities, expenses na investments sio income pekee.
  12. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14

    Serikali feki ITASHINDWA hii kesi. Fahamu, mwenye criminal law treason requires a very high threshold of proof lakini vilevile ionekane huyo mtu amefanya vitendo physically kutenda hii treason. Hila za serikali kusingizia msemo wa political party kwamba ni kitendo cha uasi hapa serikali...
  13. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Sitaki kusema sana how much I make italeta mjadala usio na maana sana. Kwa kifupi net income ya business inazidi hii 6M kwa mbali. I own outbound agency for years.
  14. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Wewe budget yako imekaa vipi? Kiasi gani upo tayari kutumia kwenye kodi? Food? Usafiri? Entertainment? Investment?
Back
Top Bottom