Wapendwa wana JF!
Nimefiwa na babayangu mzazi juzi jumosi, Mazishi ni ijumaa tarehe 11/9 Pale Rauya Marangu Moshi. Maombi yenu kwangu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mzazi mpenzi.
Bwana ametoa na bwana alitwaa Jina ake ihimidwe.
RIP my lovely Daddy.
Duu $ 5000 unajitangaza kweli wewe ni mshamba kweli kweli!! anyway ni kwa sababu ya ulimbukeni wako tuu....tafuta mke tajiri ambaye ni mshamba kama wewe $5000 unjiona tajiri???shame on your face....
Jamani mwenye updates yeyote ya yale mashamba viwanja vya Fukayosi ile project ya kkkt mwenge naomba anijuze juzi jumapili sikuweza kwenda kwenye kikao pale mwenge kanisani sijajua waliongelea nini baada ya waumini waliotoa hela zao baada ya kupelekwa fukayosi kukatokea ugomvi mkubwa kidogo...
Mkuu hayo mashamba ya fukayosi bado ni kitendawili juzi jumamosi ya tarehe 18/10 tulikuwa huko na surveyor kama mtakumbuka kanisa la KKKT walitoa ofa ya waumini wake kuhusu project ya kununua viwanja huko Fukayosi basi tukaenda as a group kufika kule tumewakuta wanakijiji wamangati wanachunga...
hapo mwananyamala wazushi tuu walinipa msichan unawapa 10,000 ya form na 50,000 ujira wao eti baada ya siku mbili...msichan anakema mamake mgonjwa anataka anamsalimie kuchunguza simu yke yule yule agent amemtafutia kazi sehem nyingine jamani kwa hiyo nikaliwa hela yangu but hawa jamaa ni wazushi...
Je bomba la mita 100 ni sh ngapi? yaani nataka nipate roughly kuchimba mita 100 na kuweka maboma mpaka pampu na nipate maji utanichaji sh ngapi mkongo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.