Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
- Thread starter
- #41
Duh! Wabongo wengine ni vigwasa, sio mchezo. Mfanyakazi wa ndani, kazi 24/7, Hana weekend. Mshahara 40,000. Taratibuni jamani. Nao ni binadamu pia.
Weekend ya nini?ataruhusiwa kutoka. Siku ya Jumamosi tu ambayo waajiri/mwajiri wake atakapokuwa nyumbani tena atapewa pesa ya kujikimu siku hiyo huko aendako na atapangiwa muda wa kurudi! Jamani naomba kama kweli mna nia ya kunisaidia kupata huyo dada wa kazi mnisaidie mambo mengine tuyaache ila naamini atafurahia maisha!