42 inch Flat tv

42 inch Flat tv

golan

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
175
Reaction score
6
Nina 42" ImageUploadedByJamiiForums1394552872.079339.jpg LG lcd tv naiuza imetumika kidogo sana Uk, tv iko dar anayehitaji bei 1.7m ATTACH]144239[/ATTACH]namba yng 0713404014
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1394552887.734486.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1394552887.734486.jpg
    42.1 KB · Views: 692
Kwa hiyo bei nakushauri bora ungepunguza kabisa, LCD 42" hauwezi kupata mteja kwa bei hiyo.
 
Mmh mbona lg flat screen ich 42 inauzwa 1.5 m na kwa diskaunt ni 1.3 m. Msiibiwe nendeni mlimani city mtazikuta mpyaa
 
Umejidanganya huko uk kwamba Dar ya sasa ni ile ulioiacha? Lcd 1.7? Khaaa!
 
Hauwezi kupata 42" LCD tv kwa 700k hata baba yako angekuwa Mwamnyange au Mboma,hizo za laki 7 ni 32",pia bei ya 1.7m ni kubwa mno
 
Lcd tv 42" kwa 1.7 duh....ziko zile zinazovushwa toka Zanzibar kupitia Mbweni sh 700,000 tu unapata hiyo 42"
 
Lcd ni out dated. Sisi tuna LED mpya kwa sh 650000. Guarantee mwaka mzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom