Kuchimbiwa kisima

Kuchimbiwa kisima

Mkuu Mimi Nina shamba sehemu inayoitwa Masaki - Kisarawe. Vipi huko unaweza kuwa na uzoefu napo. Kwa kweli maji nayataka.
 
Sehemu zote tunachimba ila lazima ufanye survey ila kwa maeneo yenye miamba migumu inaweza kufika mpaka laki 150 kwa mita
Pumpu nzuri inaweza kufika mpaka ml 1.6 kwa brand za kitaliano na denmark

Kaka naomba number zenu
 
Mkuu mimi nakaa makongo juu hapo ccm kwangu chini si unajua maeneo ya makongo kuna miinuko.. sasa sehem ile nahitaji kuwa na shiling ngapi yaani mpaka kisima kukamilika incudng mabombana uchimbaji?? thanks,

nahitaji msaada wako mkuu....

Tete'a'ete
 
Makongo juu maji yapo ila ujifunge mkanda huko kisima m 150 maji unupata kwa ml 13
 
Sehemu zote tunachimba ila lazima ufanye survey ila kwa maeneo yenye miamba migumu inaweza kufika mpaka laki 150 kwa mita
Pumpu nzuri inaweza kufika mpaka ml 1.6 kwa brand za kitaliano na denmark

Je bomba la mita 100 ni sh ngapi? yaani nataka nipate roughly kuchimba mita 100 na kuweka maboma mpaka pampu na nipate maji utanichaji sh ngapi mkongo juu...
 
Pwani sehemu gani
Survey haiwezi kujua kama ni baridi au chumvi wala kujua kwa uhakika utapata liter ngapi labda ungesema ni eneo gani inawezekana tukapata ufumbuzi

Mjasiria Akili:
Mbona mi' nilishawatembelea hao jamaa wanaohusika na maji hiyo njia unapoelekea Chuo Kikuu - Mlimani (UDSM) kama unatoka Ubungo. Walinielekeza kwa nini wanafanya survey, pia survey inaweza kuonesha kuwa kutakuwa na maji ya chumvi au yasiyo na chumvi.
Inakuwaje wewe unasema hivyo tena mkuu?
 
Walikudanganya mkuu sisi wenye huwa tunawatumia hao hao kufanya survey kwa kuwaamini kwamba wana vifaa bora kuliko watu binfsi wanaofanya hizo kazi
Hao ndio wachimbaji wa visima vyote vya miradi ya serikali na vingi tu vimeachwa baada ya kuvichimba sbb maji hayafai kwa matumizi sbb ya chumvi so walishindwaje kutambua walikuingiza chaka
 
Je bomba la mita 100 ni sh ngapi? yaani nataka nipate roughly kuchimba mita 100 na kuweka maboma mpaka pampu na nipate maji utanichaji sh ngapi mkongo juu...

Mita mia makongo juu mpaka pump yenye ubora na kila kitu kwa ml 7.5 tunakuchimbia
 
Pwani sehemu gani
Survey haiwezi kujua kama ni baridi au chumvi wala kujua kwa uhakika utapata liter ngapi labda ungesema ni eneo gani inawezekana tukapata ufumbuzi

umechimbiwa kisima mita 100 na kujulishwa Mjasiria Akili
yamepatikana maji baridi ila sio mengi. je kwa maelezo
hayo kisima kitadumu? @
 
Last edited by a moderator:
Tijuzane Ilala Buyuni kabla hujafika Chanika. Maeneo ya Taliani. Huko nako twaweza kuchimbiwa kwa Bei Gani!????
 
Mkuu Mimi Nina shamba sehemu inayoitwa Masaki - Kisarawe. Vipi huko unaweza kuwa na uzoefu napo. Kwa kweli maji nayataka.

Akisha kuchimbia ni pm. Nikufingie windmill water pump inafaa zaidi kwa kilimo cha umwagiliaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom