Pata mashamba Bagamoyo

Pata mashamba Bagamoyo

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose. Lakini pia kwa wale wanaohitaji maeneo ya Kilomo yanapatikana, kwa sasa watu wameanza kukata viwanja, pia kama una shamba unauza maeneo hayo tuwasiliane.

Ukubwa wa eneo ni kulingana na mahitaji yako, bei ni Tsh.350,000 kwa heka na kuendelea kulingana na mahali shamba lilipo. Kwa mawasiliano piga 0773 944 944 Karibuni
 
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose.

Kile kipande cha 6km rough road kupitia pale mtoni kwenda fukayose kishatengenezwa?
 
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose.

Ukubwa wa eneo ni kulingana na mahitaji yako, bei ni Tsh.350,000 kwa heka na kuendelea kulingana na mahali shamba lilipo. Kwa mawasiliano piga 0773 944 944 Karibuni

Hayo mashamba yapo umbali gani toka main road na pia ningependa kujua vijiji yanapopatikana kwa bei hiyo maana hizo Fukayosi na kiwangwa ni Kata so ningefahamu vijiji vya hayo mashamba ingekuwa poa zaidi
 
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose.

Ukubwa wa eneo ni kulingana na mahitaji yako, bei ni Tsh.350,000 kwa heka na kuendelea kulingana na mahali shamba lilipo. Kwa mawasiliano piga 0773 944 944 Karibuni

Una shamba ambalo lipo Karibu na mto au water table ipo karibu kwa ajili ya kuchimba kisima?
 
pls elezea hayo mashamba yako karibu na barabara na je yako karibu na mto ili niweze kutengeneza kisima?
 
Kifupi asilimia ya watu wengi ambao wamenunua mashamba,wanaplan ili badae viwe viwanja. Hivyo sina shamba lililo karibu na mto. Na kijiografia mto wa maana ni Ruvu pekee, zaidi ya hapo maeneo ya kuanzia Fukayose hakuna eneo lenye sifa kwa kilimo cha umwagiliaji.

Zaidi ni mananasi na mihogo vinavyo tegemea majira ya nvua. Asante
 
Ni kuzuri sana sema njia yake mbaya aiseeee hadi kufika huko mashambani
 
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose.

Ukubwa wa eneo ni kulingana na mahitaji yako, bei ni Tsh.350,000 kwa heka na kuendelea kulingana na mahali shamba lilipo. Kwa mawasiliano piga 0773 944 944 Karibuni

mkuu nitakutafuta muda ukifika.
 
Karibuni kwa mahitaji ya mashamba kwa ukanda wa bagamoyo.
 
Karibuni kwa mahitaji ya mashamba na viwanja kati ya Mbweni,Bunju,Mapinga na Bagamoyo.0773 944 944
 
Naomba kujibu swali kwa wanaopiga cm, kifupi ni kwamba, kuanzia Mapinga mpaka, Bagamoyo jirani na Barabara ya Msata,waliokuwa na mashamba sasa wanakata viwanja ukubwa wa 20x20 kwa 3.5m heka 1 maeneo hayo c chini
Ya 12m.Hivyo ni uongo kuwa waweza pata heka 1 kwa Tsh. 5m
 
Dah!! Walau umejibu swali zuri ambalo ninajua utakuwa umewasaidia wengi mie nikiwemo maana kuna mtu aliniambia maeneo ya vikawe inakaribia 5m viwanja ukubwa wa 20x20
 
Asante mkuu, karibu kama ni muhitaji.
 
Kwa wale wahitaji we mashamba Bagamoyo, sasa unaweza kupata shamba Bagamoyo,maeneo ya Kiwangwa kunakolimwa mananasi pamoja na Fukayose. Lakini pia kwa wale wanaohitaji maeneo ya Kilomo yanapatikana, kwa sasa watu wameanza kukata viwanja, pia kama una shamba unauza maeneo hayo tuwasiliane.

Ukubwa wa eneo ni kulingana na mahitaji yako, bei ni Tsh.350,000 kwa heka na kuendelea kulingana na mahali shamba lilipo. Kwa mawasiliano piga 0773 944 944 Karibuni

Mkuu hayo mashamba ya fukayosi bado ni kitendawili juzi jumamosi ya tarehe 18/10 tulikuwa huko na surveyor kama mtakumbuka kanisa la KKKT walitoa ofa ya waumini wake kuhusu project ya kununua viwanja huko Fukayosi basi tukaenda as a group kufika kule tumewakuta wanakijiji wamangati wanachunga maeneo yenyewe ni ukame miti imekatwa basi baada ya surveyor kuweka mawe wale wanakijiji wamangati wanavingoa wanasema wamevamiwa na hata serikali ya kijiji hawana taarifa ya kuunzwa kwa hayo mashamba kwa hiyo kukawa na mgogoro wenngine tuliondoka hata hatukupata viwanjwa kwa hiyo wajameni tuweni makini na hivyo viwanja...eneo lenyewe ni mbali sana tulitoka fukayosi saa kumi na mbili jioni tumeingia mwenge kanisani saa tatu na robo usiku....
 
Asante Ndugu kwa ufafanuzi,umeeleza vizuri, fukayose ni kijiji na kina wakazi wa asili. Kuna mashamba yanayomikikiwa na kijiji na kuna mashamba yanayomilikiwa na wakazi wenyewe. Mimi nahusika na mashamba ya wakazi wazawa, jambo kubwa ni kujiridhisha. Kama ni muhitaji karibu.

Na si Fukayose tu bali ukanda wa Bagamoyo kuanzaia Mapinga mpaka Kiwangwa. Achana na maeneo yanayouzwa na kijiji bali familia tena zenye asili yaeneo husika, na badaye kujiridhisha kwenye kijiji husika.
 
Back
Top Bottom