Katika karne ya problems za mental health, inaogopesha kuona visu, mapanga na vinginevyo vinaruhusiwa kuuzwa waziwazi barabarani tena hata pasipokuwa kwenye mifuko yake.
Unakuta Muuzaji anakuonyeshea kwenye screen na kama hujafunga kioo basi inakuja hapo kwenye sikio lako! Kwakweli hii hatari...
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu!
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu.
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
I’ve been reading this thread na inasikitisha to see with what has happened somepeople have personalized it into Kenya vs TZ or kiingereza kibovu, and mambo mengine ya mzaha. Jamani kama ni kweli ni ugaidi basi lisiwe jambo la kubezana. Ugaidi is real. Na kama they are driven with some kind of...
Hello, dereva mwenye experience ya miaka mitano au zaidi anahitajika kuendesha familia.
Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:
1. Awe na umri si chini ya miaka 35.
2. Awe anaishi maeneo ya Mbweni, ununio, Bunju au Boko
Dereva ameshapatikana. Asante sana.
Hello,
Tunatafuta msichana wa kuuza duka la spare parts lililoko Mbezi. Msichana awe na vigezo vifuatavyo:
1) Awe mcheshi Na mpenda watu
2) ajitume na awe mpenda kazi
3) Awe mchapa kazi na muaminifu
4) Awe na elimu angalau certificate/ form four/ form six
5) Awe anatokea maeneo ya Mbezi, Kawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.