DAWASCO rudisheni maji huku Mbweni JKT

DAWASCO rudisheni maji huku Mbweni JKT

teri22

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
12
Reaction score
12
Kwani what happened na Dawasco?

Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu!

Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma na watu wawajibishwe pale hawatoi msaada au huduma sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom