mimi natamani ningepewa uwezo wa kuchangamkia wadada maana kwangu mimi kutongoza demu uso kwa uso ni kazi moja nzito sana na siipendi, lakini nashukuru nimekuwa mtu wa bahati ya kushobokewa na wadada sana mana sasa nina miaka 26 na nimewahi tongoza mademu 2 tu ila nimeshagonga mademu wengi tu...
maana kule clinic ataelekezwa vizur kuhusu dawa, aina ya vyakula vya kutuma na pia maendeleo kwa ujumla na pia ni rahisi kugundua complication za muda mrefu ambazo labda zimeanza kujitokeza au tayar anazo.
kikubwa zaidi ivyo anavyodondoka na kupoteza fahamu na sukar iko juu ni moja kati ya...
Niliwai kukutana na pisi moja kali sana instagram mwaka jana december tar 10, tukawa tunachat fresh pale kufika tar 20 nikamjaribu kiutani "njoo dar" manake alkua anaishi dodoma alaniuliza je ni kweli aje nikamwambia njoo nakutumia nauli saiv akajibu nauli anayo kwaio nisitume
Akasema nisubiri...
mathayo 25:29-nawaambia kwamba kila aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata kidogo alichonacho atanyang'anywa.
Usiwe mnyonge bali fanyia kazi mapungufu au kasoro ulizonazo ili usidharaulike duniani na mbinguni.
1.kabla ya kulala aende kukojoa
2.ikifika jioni na kuendelea asinywe maji mengi au vitu vya maji maji mengi.
3. Usiku muamshe akakojoe.
4. Nenda hospital ukapewe dawa au kama unaweza kupata dawa inaitwa IMIPRAMINE kanunue atumie 25mg kila cku ucku kwa muda wa mwezi 1 kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.