Msaada wa tiba ya ugonjwa huu

Msaada wa tiba ya ugonjwa huu

Alikupaje antibiotic apo amoxicillin , ila ukimaliza dose ukikuta hamna mabadiliko unaweza tumia dawa nilizo kuandikia apo juu, tumia za kumeza pamoja na kupaka izo ukienda hospital Huwezi kupewa pamoja tunaita irrational, unanunua tu famasi

Pole sana utapona wapo wengi wanaugua kama ww na kupona

huenda kulikua na secondary bacterial infection ndo maana alipewa na amoxicillin
 
Nami nina shida kama ya mleta mada, nilikwenda hospitali nikapewa dawa za kunywa (Clamivudine) na za kupaka. Lakini hazijasaidia kabisa kuondoa tatizo hilo
 
Tumieni ant fungal, clamivudine (amoxicillin & clavulamic) hiyo ni bacterial infection totally.

Ukitaka uitokomeze hiyo hali tumia za kupaka na kumeza za fungal hakikisha unamaliza dose ( terbinafine, fluconazole) na za kupaka tumia yenye contrimazole tu, terbinafine cream ikigoma, tumia zenye mchanganyiko zipo nyingi sana.

Pia unaweza ongezea cream yenye salycillic acid ili itoe ngozi ngumu hiyo ibakie laini dawa iweze kuingia vizuri/ au oga sugua kwa jiwe paka dawa zile za kwenye picha,

Ukilala hakikisha kamekauka hamna unyevu nyevu wa maji ibakie dawa tuuu, utaona mabadiliko
 
Asante kwa ushauri. Ngoja nitafute hizo dawa
 
Back
Top Bottom