Punguza maringo mwisho wetu wote kaburini

Punguza maringo mwisho wetu wote kaburini

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Wewe dada, wewe kaka punguza maringo, maringo hayafai na hayapendezi mwisho wa siku sote tutakwenda kaburini maana hakuna aijuaye kesho yake.

Leo hii unayemuona si lolote wala si chochote hapa duniani lakini huko mbinguni ana utajiri wa kutosha kuliko hata Bill Gates.
 
Umeharibu ulivyosema ana utajiri kuliko bill gate kote ulienda sawa.
 
mathayo 25:29-nawaambia kwamba kila aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata kidogo alichonacho atanyang'anywa.

Usiwe mnyonge bali fanyia kazi mapungufu au kasoro ulizonazo ili usidharaulike duniani na mbinguni.
 
Mbona sikupati vizuri boss. Au ni jiwe la gizani unamsema aliesema nyani ngabu kakimbia
 
Back
Top Bottom