terbinafine
Member
- May 11, 2020
- 35
- 42
Naomba kuuliza!! Jana baba yangu alidondoka gafla barabarani!! Baada ya kudondoka mdomo ulipinda!?mpovu yalitoka?!jasho jingiii??!hakawa haongei!! Hadi tunamfikisha Amana?!! Baada ya kupima akaambiwa alikua na sukari 23 mwilini!
kwani huwa haudhurii clinic ya kisukar hospital?