Recent content by Terace

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

    Kwema boss, Mie nataka ninunue game for my kids ila sina ujuzi sana kwenye hili maana mie nilicheza zile need 4 speed za kwy PC. Nataka zile unit kama ma X Box au PSx sa sijajua ipi nzuri na ntapata games kibao na isitegemee internet connection sana kwa watoto kucheza.... Unaeza nipatia some...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupima Covid-19

    Chukua hii; 1. Fanya booking (https://pimacovid.moh.go.tz/#/booking) hapa utachagua pia kituo cha afya/hospital utapoenda kufanyia hiyo kipimo. Nakushauri chagua kituo/hospital yeyote ya Serikali mfano Amana but mostly angalie ww wapi ni karibu kwako. 2. Utatumiwa SMS na email kwy contacts...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu masomo ya baishara

    Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport. Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Mkuu, heshima yako.. Naomba sana unisaidie khs maswali niliyonayo hapa chini... ntakushukuru sana...huenda unasaidia kutengeneza millionea wa hivi karibuni; 1. Kwanini mnasema Hamuwezi mshauri mtu kuweka fixed deposit? Nini hasa hatari ya hizi Fixed Account? 2. Wapi mtu anaweza pata financial...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    I mean huko nje ya nchi kwy wataalam na vifaa complex. Si unajua huwa wanatuambia hata DNA za miaka 2000 ilopita? Ila kwa Bongo sidhani kama kuna mabadiliko japo mwaweza enda uliza. My case was 6years back so sijui kwa sasa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Mi nadhani kama uwezo wa kuwalea watt mnao bora mkawalea tu. Watu wanafuga mbwa na kuwalisha vzr tu sembuse watoto jamani! Fanyeni DNA pale mnapogombania watoto... mfano yaani kuwe na baba 2walio hai wanaoclaim mtoto ni wao...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Similar case ilikataliwa pale Regency kwamba ndg wa marehemu hawawezi kutumika kwy vipimo vya DNA ili kuhakiki kama watoto ni wa marehemu ndg yao. So nadhani kama ndg yenu hakuwahi fanya hicho kipimo akiwa hai na kuwa nazo results zake...then hili suala ni ngumu kutumia njia ya DNA...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuwapa watoto majina ya kigeni Kizungu/Kiarabu ndio usasa au kutojitambua?

    Ungeanza wewe mwy kuonyesha mfano... lakini unanyoshea kidole wengine wakati huoni boriti jichoni pako... Unajiita Forest Hill hapa JF Na kama umetahiriwa basi huna mamlaka kuongelea hilo jambo maana umefata mila za kigeni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Kwani Fixed deposite zina risk? Nadhani kwa pesa aliyonayo hata akienda commercial banks na kuomba interest rate nzuri kwa huo muda wa miaka 10 atapatiwa tu. Muhimu nadhani ni kutembelea mabank. Nakulbuka one time kabla ya janga hili la corona 'tuliwekeza fixed deposit' ya kama 90M au chini...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Bank gani zinatoa interest ya 11% p.a kwy fixed acc??? Na kwa principle amount ngapi? Weka jedwali lote mkuu Am interested...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

    Asante mkuu. Nimegoogle tena hii 2KD inainekana ndo hizo wanaita D-4D
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

    Mkuu kama nilivokudokeza kuwa ni engine nayotaka kufunga kwy Toyota Hilux 2.8 Double Cabin ambayo originally ilikuwa na engine ya 2.8L Mie nilipoinunua nilifunga 3L ambayo nilununua pale Shauri Moyo ila ilikufa haraka sana kwa kunock. So nataka hizi KD series ambazo nasikia zinaperform vizuri...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

    Mkuu...mimi pia nataka engine ya Toyota pickaup. Nina Toyota Hilux 2.8l Double cabin pickup.... ila nataka kufunga engine ya 1KD ya Diesel.... hebu tuyajenge kama naweza pata huko ukanitumia....
  14. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Ndio mkuu ya familia.... unashauri matoleo/ brand yepi mkuu?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Subaru Forester XT Nissan Duallis Toyota Ruminion Ipi kali kwenye hizo? Asante sana...
Back
Top Bottom